Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ana matatizo ya kiafya...akilia sana tu anazimiaMsibani kwa kanumba uwoya alizimia mara tatu mfululizo kisha kuwa okay kabisa ,bongo movie bana
Itakua ana matatizo ya kiafya...akilia sana tu anazimia
Mmmh haya, labda analia kwa niaba ya mtoto wake.
Ndio kawaida ya wanyarwanda kuzaa na wa kwao kwanza hata kama hampendi..fuatilia utajua ukweliSasa IRENE anaumizwaje n kifo cha NDIKUMANA kwa mfano?
Hapo hata mi kaniumiza kichwa. Yaliyomo ndani ya moyo wa mtu unayajuaje?!Umejuaje?
Alisema mwenyew kwenye mahojiano na imeldaUmejuaje?
Kumbe mnafahamianaInawezekana ameguswa kweli lakini hilo la kuanguka lilikuwa tatizo lake toka akiwa Mdogo!
Kibongo bongo hadi ulie kama mnyakyusa upige mayowe, ugale gale chini, uzimie ndo hapo ndo umeguswa....
Mnyaki bila mayowe hajalia bado ha ha haDuh! 😀
Wanyakyusa ndo huwa wanafanya hivyo?
Kale hawezi kulala nako, ni movie bana