tukiachana na yoooote jamani...kifo ni kifo tu..yaani hata ukisikia adui yako amefariki lazima roho ubinadamu wa kawaida itakujia,huzuni,simanzi na huruma vitakujia.
Irene kuachana au kutompenda Ndiku haimaanishi kuwa na Maisha ya Ndiku hakuyapenda pia au uhai wake ulikuwa tatizo kwake...pia tukumbuke vyovyote iwavyo hawa watu walishawahi kushare breath na pia walishawahi kuwa na happy n memorable moments sometimes somewhere....so, kama binadamu wa kawaida hakuna la kushangaza na wala sio unafiki kwa Irene kuguswa na kifo cha mzazi mwenzake.
RIP Ndiku Hamad!