Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Bora watu wale waonyeshao hisia zao wazi kuliko hawa wanaoigiza.
Kama alikua anamjali mzazi mwenzie kwanini asingemsaidia toka mwanzo saivi kafariki ndo anajikuta analia?
Iwe funzo kwa wale wote wanafiki.
 
Thamani ya mtu uliyemtesa na kumnyanyasa kwa namna yoyote ile huonekana pale mtu huyo anapokufa.

Sitaki kumuhukumu Irene lakini vitendo alivyokuwa anavifanya vinaweza kuwa kichocheo cha kifo cha huyu bwana.

Sikutarajia kumuona akilia kwa uchungu hivi. Alitakuwa kufahamu mapema kuwa anamsababishia maumivu makubwa mwenzie.

Tukumbuke kuwajali wale waliopo kwenye maisha yetu.
 
Hivi nimeoa leo baada ya siku chache mmeo uliyenambia mmeachana kafa alafu unalia hadi kuzimia mbele yangu nitaanzaje kukubembeleza!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
 
Mnyaki bila mayowe hajalia bado ha ha ha
Kabisaa yaani umepatiaa

Tukipeleka misiba kijijini basi utaskia wanasema twenden tukaangalie vilio

Yaani wao vile kupiga mikelele kwao ndo umeguswa.Mtu anajipigiza ht chozi halitoki[emoji1] [emoji1]
Duh! 😀

Wanyakyusa ndo huwa wanafanya hivyo?
 
Jitahidi kutomkwaza mtu na epukana sana migogoro ya kibwege hii pumzi inakatika sekunde yoyote ile naamini uyo mdada leo anajutia kwa wehu alioufanya wiki kadhaa anatamani angefanya katika namna ambayo isingezaa kutoelewana na mzazi mwenzie maana leo hakuna anaemuamini kama kaumia ni juzi juzi walikua wanatupiana maneno ghafla mwenzie kaimaliza safari kama ana ubinadamu hii itamuumiza kwa muda mrefu sana,nishawahi kuikosa nafasi ya kuongea na mtu kisa ugomvi wa kibwege na leo hayupo nawaza nakosa jibu angeniambia nini.
 
Ooh..ok.

Kuanzia leo itabidi ni pay attention kwenye hiyo misiba ya Wanyakyusa.

Yaelekea huwa ni burudani ya aina yake.
Sana tena vijijini kuzidi mkiwa msibani kwanza wananzengo wanaangalia nani analia sana nani halii sana kwa kelele

Wao mwenye uchungu ni yule anayelia kwa vurugu na manenoo mfano"Munguuu nichukue na Mimi,jamaniiii"
 
Hahaaaaaa daaah!

Kwa hiyo huwa ni kama mashindano?

Aisee mmenipa hamu ya kutaka kuhudhuria msiba wa Kinyakyusa [emoji23] [emoji23]

Hahahaaa utadhani ni mazuri....
 
Hahahaha kuna watu wana vituko jamani

[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti mashindano
Kule uchungu wa msiba uzimie,yowee,kelelee hapo mtawafurahisha

Ila kinyume na hapo hamna uchungu.
We chunguza tu
 
Huyu ni mwanaume wa 4 anakufa aliyewahi kuwa na mahusiano ya kingono na Irene!... wakati anazimia zimia akumbuke anavyompaka ngoma dogo janja
Mhona hamis baba a.k.a h baba bado anadunda mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…