Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
mbona huyu mama wa kichagga hatishi km unavyomhusiha Mungu?au ma make-up alipocheza picha na kina Kanumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf inapitia kweye kipindi kigumu sana kwa sasa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio comment bora kwa huu mwezi june aseee!
Poa tu , nataka wasija kupita na mm tu mkuuEndelea kumnadi mkeo wahuni wapite nae kihard core
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Poa tu , nataka wasija kupita na mm tu mkuu
Huo moto uko wap nikauotee kidogo maana hili baridi la IringaKama kichwa chako kitaendelea kuwa kigumu ukweli ni kwamba utaamini Mungu yupo siku ya mwisho utakapo kuwa unaingia motoni,
Mnaicheka timu yangu. Wakati hata msimu wenyewe hujaanza.
Olee wenu nyie mchekao sasa maana hamtoamini macho yenu.
Ata kuku zinapumua mkuu
We chukua picha ya Uwoya kichwani afu itafakari kwa kina kuna kitu utagundua
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hamna kitu hapo,,makeup ndo zinawabeba hao vinyago,
.Kiufupi huwa siamini ya kua Mungu yupo huwa naungana na wale wasemao binadamu wa kwanza alikua nyani
Ila some Time nikichill alone nikitafakari uzuri wa Irene uwoya huwa naamini kuna muumbaji aliemuumba sio bure
How come mtoto mkali kama yule eti chimbuko lake nyani
Uzi huooooo
Povu ruksa
hiyo ya kwanza sijapaka makeup,,
kapicha muhimu mkuuDuuh hivi uwoya ni mzur ???
Nahisi ukimuona mke wngu roho itakata hapo hapo
Bado sana, kwani unataka kua sawa na uwoya?hiyo ya kwanza sijapaka makeup,,
Hiyo ya pili nimepaka makeup,
Hapo vepee,,,?View attachment 1132167View attachment 1132169
mbona huyu mama wa kichagga hatishi km unavyomhusiha Mungu?au ma make-up alipocheza picha na kina Kanumba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] iyo timu msimu ujao itawamangisha sana watu hela
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app