Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hana hata room ya kwake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uwoya huyu amiliki mall? Show off atafanya mda gan? But nimeelewa ulichokusudia kuleta, woiiiiiiii
Hahaaaa Wala nampendaga Sana UwoyaaaaAcha wivu rey!
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uwoya huyu amiliki mall? Show off atafanya mda gan? But nimeelewa ulichokusudia kuleta, woiiiiiiii
@Moderator [emoji115][emoji115][emoji115][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Machawa wepi? Machawa wanakula zao kwa kazi yao binafsi.Hajui tu SEMA zile Pesa Kama Zina mashetani vileee!!!yaani wanainjoi machawa tuu
Wee kwan hujui?Rich ndio nani!
Muache Ze Don atakapo m dump akili itamkaa sawa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana hata room ya kwake mwenyewe
Amepanga na kuzurua mahotelin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] dea upoo?Hhhmmm hapa kuna uzi hapa!! Wacha nkae vizuri..
Hapana nampendaga mnoo Ila Mambo yake tu demu anapata Pesa Sanaa!!maana mgodi alokua nao Sasa hivi anatema Pesa balaaa!!!ngosha huyooo!!!Hamna unamwoneaga wivu sana cjui kwann kwani alikufanya nini?
Weeeeh!bado anawapa pia shogaaa kwa story za ndani ingawa nao ndo vile Akina mjomba mareshii km Yule mnyaki[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]choko mpk hajieleweliMachawa wepi? Machawa wanakula zao kwa kazi yao binafsi.
Sema dadaz wa bongo akili kisoda, wanapitwa had na huddah na vera khaaah
Nipo mpenzi.. nipe newzz..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] dea upoo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila aristoteee ananiachaga hoi, sio kwa kujishaua kwa uwoyaa, yaan had uwoyaa mwenyewe kamchoka. LolWeeeeh!bado anawapa pia shogaaa kwa story za ndani ingawa nao ndo vile Akina mjomba mareshii km Yule mnyaki[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]choko mpk hajieleweli
Newzzzzzz!!! [emoji6][emoji6][emoji6]Nipo mpenzi.. nipe newzz..
We coca angalia hata mpira upunguze stress![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila aristoteee ananiachaga hoi, sio kwa kujishaua kwa uwoyaa, yaan had uwoyaa mwenyewe kamchoka. Lol
Atakuja juta vibaya huyu dada, wee muache tyuuh.
Sasa mie stress nitoe wapi? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We coca angalia hata mpira upunguze stress!