Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Status
Not open for further replies.
Aaah usinifanyie hivyo jmn basi hata pm nijuze[emoji2]
Thina bandooo!!![emoji38][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji28][emoji28][emoji16][emoji28][emoji28][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji39][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]watu wanahisi tu Irene bwana ake wa Sasa hivi sio kigogo wala mti na sio supa staa...ni tajiriiii Dola Dola mchezo wa kikubwa,hatembei na shillings za Kibongo a low key person!!!
 
Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!
Amejiandaaje kuingizwa kingi😂
 
Nchi ya ajabu Sana hii. MTU akijenga frem kumi za maduka, salon za kike na wakala wa CRDB anaitwa mall.
Yuko tajiri mmoja maarufu Dar aliingia kichwa kichwa biashara ya frem, alifilisika haraka mpaka Sasa hajui kilichomtokea. Juzi Kati nilimuona Kinondoni amapaki kibenzi chake anakula supu ya utumbo
 
kwani mall inatakiwa iwe na maduka mangapi mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom