Yaap nliona amestaafu aliweka IG!! Ndo maana hana majivuno nampendaga Mimi uwoya sanaa!!!hana shobo yule!Mzungu wa rohoyap toto la kishua lile.... mama ake na baba wote vigogo ila mzee wake nahisi atakuwa ameshastep down maana alikuwa anafanya kazi na mzee na mzee alishastep down na walikuwa rika moja
Yaap nliona amestaafu aliweka IG!! Ndo maana hana majivuno nampendaga Mimi uwoya sanaa!!!hana shobo yule!Mzungu wa roho
[emoji15] [emoji15]Dah mkono umepata ulemavu kwa kujinyeto[emoji87][emoji87][emoji859][emoji144][emoji115][emoji124]View attachment 859884
Well said mkuu si unakumbuka bifu ya T.I.D na Hashim thabit pale bill's. Maana ishu ilikua ni demu wa tid kumshobokea hashim ile kinomanoma afu tid akaleta umwamba akala kichapo akatolewa club na kupigwa suspension, na aliporudi alienda na mzazi na elf 19 ya dawati alilovunja.Pesa na umaarufu tu hakuna cha hofu ya mungu wala nn amini nikwambiacho usipoamini leo utaamini cku demu wko akitongozwa na mwenye hela ama staa ntakukuta unalia ndg yng!
yuko vizuri kinoma mkuuSema irene uwoya mzuri tuache utani
Mwanaume yeyote hana kibamia mpaka wenye macho wamuonenacho. Kwahiyo ukiwa vzur kiuchumi mpaka itakapoonekana hufai.(itakapofahamika ni kibamia) pia bado unaweza ukang'ang'aniwa maana upo vizur kiuchumi.Uchumi wa kati na kibamia je?
Nimekubali mshana jr ni nabiihinu wa kuweli. Dah! Nilipoangalia sikuona kwa kuwa mi si nabii.Dah mkono umepata ulemavu kwa kujinyeto[emoji87][emoji87][emoji859][emoji144][emoji115][emoji124]View attachment 859884
mkuu asante kwa kunitia moyoMwanaume yeyote hana kibamia mpaka wenye macho wamuonenacho. Kwahiyo ukiwa vzur kiuchumi mpaka itakapoonekana hufai.(itakapofahamika ni kibamia) pia bado unaweza ukang'ang'aniwa maana upo vizur kiuchumi.
Hanaga shida we mtukaneee!hajibu sema ndo kicheche tu!!kweli kabisa yupo bussy na mishe zake tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I do remembaaaa!!!Well said mkuu si unakumbuka bifu ya T.I.D na Hashim thabit pale bill's. Maana ishu ilikua ni demu wa tid kumshobokea hashim ile kinomanoma afu tid akaleta umwamba akala kichapo akatolewa club na kupigwa suspension, na aliporudi alienda na mzazi na elf 19 ya dawati alilovunja.
wazungu ni tofauti na mswahili mkuu, wanaogopa sana kitu usalitiMi namkubali sana Beckham na uhandsome wote ule yupo tuli na kadem kake Victoria mwingine ni Will smith hawa wanawake sijui wamewapa nini kuwatuliza hawa jamaa
hiyo ndio changamoto 😂😂 ila daaah irene mzuri bwana... me nilianzaga kumuona before ajashiriki umiss alikuwa anasoma na sister angu st lawlance kwa museven... alikuwa akija home nasema umri huu umenikosesha utamu😂Hanaga shida we mtukaneee!hajibu sema ndo kicheche tu!!
Bill Clinton+Monica Lewinsky wale si Wazungu?wazungu ni tofauti na mswahili mkuu, wanaogopa sana kitu usaliti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hukutaka tuu!humuoni dogo janja anajilia utamu!!!hiyo ndio changamoto [emoji23][emoji23] ila daaah irene mzuri bwana... me nilianzaga kumuona before ajashiriki umiss alikuwa anasoma na sister angu st lawlance kwa museven... alikuwa akija home nasema umri huu umenikosesha utamu[emoji23]
Beckham anachit sanaa!sema Vicky anampotezea ashawahi jibu kua mmewe wanajipendekeza wenyewe wadada !!wazungu ni tofauti na mswahili mkuu, wanaogopa sana kitu usaliti
huyo jamaa si wanasema na yeye anagongwaKuna mmoja hapo niliona jana kapostiwa na yule kijana wanamwita simba,huwenda akasogezwa Madale.
Ukiehakuwa star, privacy ni 20%Hayo ni maisha yao umejuaje ya mioyoni mwao mkuu, mind ur own bussiness
Nina wasiwasi kama dogojanja ile pale gere'sha tu. Dogo ana hela ya kumpeleka bibie Dubai vacation? Wakati kodi ya chumba tu mzozo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hukutaka tuu!humuoni dogo janja anajilia utamu!!!