Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Yaap nliona amestaafu aliweka IG!! Ndo maana hana majivuno nampendaga Mimi uwoya sanaa!!!hana shobo yule!Mzungu wa rohoyap toto la kishua lile.... mama ake na baba wote vigogo ila mzee wake nahisi atakuwa ameshastep down maana alikuwa anafanya kazi na mzee na mzee alishastep down na walikuwa rika moja