Irene Uwoya: Sipendi wanaume wanene na wenye vitambi

Irene Uwoya: Sipendi wanaume wanene na wenye vitambi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Star wa filamu za kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu.

Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene, wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvutiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza jana kilisema: "Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye hana muda nao maana sio type yake.

Anapenda wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita kwa sita". Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia suala hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi.
 
Mtu kama yeye aliyecheza mechi za mchangani na zile zilizopo kwenye kalenda ya FIFA akiongea kitu siwezi kubisha.

Nitajitahidi nisiwe na kitambi.
 
Hivi hawa wadada huwa hawana kazi za kufanya zaidi ya kupanua miguuu? These people have so little value
 
Si ndo huyu alisemwaga na h-baba kuwa hawezi kitu kitandani au namfananisha?
 
Yeye hana kitambi?angesema hapendi mwanaume mwenye kitambi kinachopanguka kama chake!
 
Si ndo huyu alisemwaga na h-baba kuwa hawezi kitu kitandani au namfananisha?

Ndo huyo huyo alichambagwa mpaka basi maskini, halafu irene hanaga uswahili hajui kuchamba, huyo h baba angemkuta riyama mbona angeomba poo
 
Wanene wanaraha yao Bibi wewe ! Mapenzi si Vita mpaka uwatake hao wakomavu !

Sidhan kama unajua chochote kuhusu body building... ukomavu n mtu tu na maisha yake... sry nmekumind coz n mmoja ya watu wa mazoez.... na nagombewa na wamama ofsin na mtaan acha vjana wenzangu!
 
Back
Top Bottom