Irene Uwoya: Sipendi wanaume wanene na wenye vitambi

Irene Uwoya: Sipendi wanaume wanene na wenye vitambi

Sidhan kama unajua chochote kuhusu body building... ukomavu n mtu tu na maisha yake... sry nmekumind coz n mmoja ya watu wa mazoez.... na nagombewa na wamama ofsin na mtaan acha vjana wenzangu!

Duh!! Wanagombea six packs, hongera
 
Sidhan kama unajua chochote kuhusu body building... ukomavu n mtu tu na maisha yake... sry nmekumind coz n mmoja ya watu wa mazoez.... na nagombewa na wamama ofsin na mtaan acha vjana wenzangu!

For Promotional Use Only.
 
le mutuz,jb,kapten komba..

Hawa wote sio wanene, hawa ni vibonge, hawa wala hawana vitambi wana matumbo,
kama ni unene wetu sisi ambao ukivua nguo wala unene hauonekani vijitambi vya kutundikia suruali na ukiwa uchi wala havionekani, ajaribu moto wake kama hajawatukana hao wabeba vyuma wake ambao hawana kazi ya kufanya kutwa kushinda kwenye mazoezi alafu chakula chips na yai moja la kisasa.
 
ahahaa, biashara matangazo binamu, badala atangaze movie mpya anatangaz umalaya

Unene hupunguza pumzi y mechi bao moja tu then anakoroma wengi wanatumia mbolea bila ushauri w dokta mwisho wanafia chumbani.kuna muheshimiwa kalazwa muhimbili alitaka kufa hotelini arusha nae ni bonge hivyohivyo alikula mbolea presha ikapanda cjui na sukari yani ilikua mshkemshike balaa
 
Kuna mmoja kalazwa muhimbili alikula mbolea kidogo afie hotelini ilikua noumer sana,nae ni mutu mnene zaidi y komba siri imefichwa mda yani ilikua balaa roho kidogo iache mwili

Hahahaaaa...jamani jf itaniua kwa kichekooo....hahahaaaaaa
 
Kwq hyo na wewe unapenda mwenyewe??

Aaaalaaa chezea kifua cha laazizi wangu kinavutiajeee,sio mwanaume kifua huna, nyonyo hizoo,,kama kifua cha Rick Ross kibayaa
 
Shosti Komba , Le mutuz , JB , Bigi wale ni Wagonjwa sio wanene , Diamond & Ali ndio hao siksi paki , No me Nehine

Ila ndomo ukimuona kwenye picha nyingi anaonekana bonge la mtu halafu kajazia hatar, ukumuona live kama nguchiro ana mwil mdogo, sijui ndo application maana na wao mhh
 
Ila ndomo ukimuona kwenye picha nyingi anaonekana bonge la mtu halafu kajazia hatar, ukumuona live kama nguchiro ana mwil mdogo, sijui ndo application maana na wao mhh

Hata mi nilimuona ana mwili mdogo tu lakini kwenye picha,ila yote Vanesa kujaradia bado ananiua mbavu aisee
 
Ila ndomo ukimuona kwenye picha nyingi anaonekana bonge la mtu halafu kajazia hatar, ukumuona live kama nguchiro ana mwil mdogo, sijui ndo application maana na wao mhh

Ha ha ha mambo ya camera mia tatu sitini hayo ukimuona live na mkomao juu
 
Unene hupunguza pumzi y mechi bao moja tu then anakoroma wengi wanatumia mbolea bila ushauri w dokta mwisho wanafia chumbani.kuna muheshimiwa kalazwa muhimbili alitaka kufa hotelini arusha nae ni bonge hivyohivyo alikula mbolea presha ikapanda cjui na sukari yani ilikua mshkemshike balaa

Hahahaaaaa,uwiiiii umenichekesha sana...ni nani huyo jamani???natamani kumjua kweli yani...
 
Back
Top Bottom