As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
- Thread starter
-
- #61
Hapana kama wewe ni muumini wa Liquid ni wewe na nafsi yakohuyu jamaa anataka kutuvuruga tusimalize weekend vizur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kaanza vizur kwa kumtetea majuto kumbe target yake nyingine kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa ujue umemtangazia mtu biashara kwasababu kila mtu atataka apajue hapo ilipo hio baa ili akanywe!!!!
Unamdomo mchafu ww mtoto kwani hata ukimywa pombe mm inaniathiri nn? Nilichopinga ni kuwekwa pic ya Alhaj kwenye ukuta wa Clubkaka kwanza lipia tangazo maana me nilikuwa sijui kama kuna baa ya Irene ila kwa kuwa umenijuza itabidi saizi nikamalizie weekend yangu huko,
Kingine acha uchawi inamaana mtu kufa ndio hata history yake ipotee, kwan kina Michael Jackson, 2pac nk wanaowekwa ktk kuta mbali mbali/ ktk mabango ya ndani na watu wananunua kwan hua kuna ubaya gani hapo, na kuhusu suala la kuuza pombe hayo hayakuhu ww kama vp acha wanaotumia watumie na kama ww unatumia ugoro fanya kuweka picha ya mzee ktk kile unachoona ni sahh kwako.
acha unafki utazikwa na mkaa bure matakoni, maana wanafki huwa na tabia ya kutozaa daima!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itakuwa haujanielewa nilichopinga kuwa. Haifai kumtumia picha ya Marehemu ambaye ni Muislam kutangaza Pombe au kuwa kivutio cha pombeMleta mada ww ni dogo janja kuachwa ndio kinachokupa kiroho papo, mwenzako kafungua baha ww iyo picha ya majuto ambae hta uku kwetu sirari watu hawamjui ndio inakutoa kamasi!, Je walioweka picha za Nyerere na akina fidel castro utasemaje au haujaingia hta kwenye hotel za nyota5? Ww ni kiazi mviringo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wengi kiongozi wao ni shetani lazima wakupingeUislamu unaendana sana na usabato..jana nilikua namwambia mtu betting ni haramu..hhhaa wacha aniambie kwenye bible hakuna pameandikwa bettn haramu...!
Kwan yy majuto ni wa kwanza kuwekwa, ama majuto ndio bora kuliko wote waliokufa wakawekwa kwenye kuta za starehe?!!Unamdomo mchafu ww mtoto kwani hata ukimywa pombe mm inaniathiri nn? Nilichopinga ni kuwekwa pic ya Alhaj kwenye ukuta wa Club
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa Huendi mbinguniWeita...
Ebu haraka, niongeze mbili [emoji481] [emoji481] za baridi tafadhali...[emoji39] [emoji39]
Afadhali tu mkuu, maana hata nami sina haraka ya kwenda huko....[emoji121]
Kama waliowekwa kwa itiqad ya dini zao ni sawa basi hilo ni lao na iman zao lakini kwenye asasa unawashwa hivyo wakati pili pili haujaila ww ili iweje?!! Kwan yy majuto ni wa kwanza kuwekwa, ama majuto ndio bora kuliko wote waliokufa wakawekwa kwenye kuta za starehe?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]dahDahhhhh.....
Ebu malizia kabisa mkuu, ili nasi tujifunze Dini ya haki/Dini ya MnyaaziMngu
Umenena vyema kabisa mkuu,Mzee majuto huko aliko hana kosa kabisa na Wala hatoadhibiwa kwa kosa la uwoya kumweka bango katika biashara ya pombe.
Japo inaweza kuwa familia wakilikalia kimya kwa hali ya kuridhia huwenda ikawa shida kwao kumuacha ndugu yao anafanywa bango katika kamari.
Lakini mzee majuto hatokuwa mwrnye kuadhibiwa kwa kosa ambalo limetendwa na mwingine baada ya kufa kwake.
Sinza moriBaa yake ipo wapi?
Okay Roger Dat.Sinza mori mbele kidogo ya la Chaz...kama unaelekea Jo' Berg hoteli or Wanyama hotel..
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks nitaenda KUPIGA MONDE ONEDAY NIKIJA DIZIM.Sinza mori
Mimi nilkuwepo hapo juzi ijumaa siku ya ufunguzi nilkuja kutahamaki kumekucha..Thanks nitaenda KUPIGA MONDE ONEDAY NIKIJA DIZIM.
NaUnGa mKoNo hOjA....[emoji30][emoji30][emoji3][emoji3][emoji3]dah