Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

kaka kwanza lipia tangazo maana me nilikuwa sijui kama kuna baa ya Irene ila kwa kuwa umenijuza itabidi saizi nikamalizie weekend yangu huko,

Kingine acha uchawi inamaana mtu kufa ndio hata history yake ipotee, kwan kina Michael Jackson, 2pac nk wanaowekwa ktk kuta mbali mbali/ ktk mabango ya ndani na watu wananunua kwan hua kuna ubaya gani hapo, na kuhusu suala la kuuza pombe hayo hayakuhu ww kama vp acha wanaotumia watumie na kama ww unatumia ugoro fanya kuweka picha ya mzee ktk kile unachoona ni sahh kwako.

acha unafki utazikwa na mkaa bure matakoni, maana wanafki huwa na tabia ya kutozaa daima!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamdomo mchafu ww mtoto kwani hata ukimywa pombe mm inaniathiri nn? Nilichopinga ni kuwekwa pic ya Alhaj kwenye ukuta wa Club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ww ni dogo janja kuachwa ndio kinachokupa kiroho papo, mwenzako kafungua baha ww iyo picha ya majuto ambae hta uku kwetu sirari watu hawamjui ndio inakutoa kamasi!, Je walioweka picha za Nyerere na akina fidel castro utasemaje au haujaingia hta kwenye hotel za nyota5? Ww ni kiazi mviringo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itakuwa haujanielewa nilichopinga kuwa. Haifai kumtumia picha ya Marehemu ambaye ni Muislam kutangaza Pombe au kuwa kivutio cha pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa unawashwa hivyo wakati pili pili haujaila ww ili iweje?!!
Unamdomo mchafu ww mtoto kwani hata ukimywa pombe mm inaniathiri nn? Nilichopinga ni kuwekwa pic ya Alhaj kwenye ukuta wa Club

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan yy majuto ni wa kwanza kuwekwa, ama majuto ndio bora kuliko wote waliokufa wakawekwa kwenye kuta za starehe?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwakuwa imani yako imekuaminisha kuwa pombe ni haramu basi unachukulia kwamba huo mtazamo wako una apply kwakila mtu pasipo wewe kutazama misingi ya imani yao inamtazamo upi juu ya hilo .( huo ni ubinafsi )

Halafu unaanzia wapi kumpangia mtu namna ya ku-invest pesa ambazo haujui chanzo kilicho pelekea kufika mikononi mwake ni kipi _ Kama serikali ya nchi inataitambua biashara hiyo basi wewe huna sababu za kui-judge

Binafsi sifurahishwi na watu ambao wanaamini kwamba mbinguni kila mtu atabeba msalaba wake halafu hapo hapo wana walazimisha watu wengine waweze kuishi kama wao " As if mliambiwa kwamba matendo ya huyo mtu yanaweza ku-sababisha mchomwe moto pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa unawashwa hivyo wakati pili pili haujaila ww ili iweje?!! Kwan yy majuto ni wa kwanza kuwekwa, ama majuto ndio bora kuliko wote waliokufa wakawekwa kwenye kuta za starehe?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama waliowekwa kwa itiqad ya dini zao ni sawa basi hilo ni lao na iman zao lakini kwenye a
uislam mambo hayo hayafai na ni uchafu wa shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee majuto huko aliko hana kosa kabisa na Wala hatoadhibiwa kwa kosa la uwoya kumweka bango katika biashara ya pombe.

Japo inaweza kuwa familia wakilikalia kimya kwa hali ya kuridhia huwenda ikawa shida kwao kumuacha ndugu yao anafanywa bango katika kamari.

Lakini mzee majuto hatokuwa mwrnye kuadhibiwa kwa kosa ambalo limetendwa na mwingine baada ya kufa kwake.
Umenena vyema kabisa mkuu,

Mtu ameshakufa,atahesabiwa mwenyewe kwa aliyoyafanya akiwa hai.
 
Back
Top Bottom