Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

Mkuu katika tabia ambayo muislamu safi kama wewe tunatarajia awenayo ni uvumilivu na upendo kwa wasio waislamu ,Pombe ni haramu kwa mujibu wa quran ,Je kwa mujibu wa dini za asili za wachaga ni haramu pia ? Je waabudu milima nao kwao ni haramu ? Kiongozi tusipokuwa wavumilivu,itatokea siku dini itakuwa na kitabu chao kitachosema kuvaa kanzu nyeupe ni haramu ,hatuta wabishia tutawasihi wao wasivae ila waheshimu uislamu na waislamu .Unapoanza kuamini dini yako ndo standard sahihi na zawengine ni chini ya dini yako unaanzisha vita isiyo na mwisho wala faida ,Natumaini kama wewe muislamu wa kweli kwa nini utumie nguvu kubwa kupinga kitu haramu ,kwani mungu wako ni mdhaifu kiasi cha kuhitaji msaada wa mtu mdhaifu kama mimi na wewe.

Njia pekee ya kuupa uislamu heshima ,kwanza ni kuujua uislamu kwa undani ,kisha kuwahurumia na kuwapenda wasio waislamu ili kwa upendo wako na uvumilivu huenda wakavutiwa kujua mungu wako ni yupi na hatimaye nao wakaslimu.
 
Sawa mkuu, naomba unikaribishe basi namimi huko Daslam....[emoji30][emoji30]
tapatalk_1547552950903.jpeg
 
Kama unapicha ya marehemu baba au mama au mtoto kwenye wallet na bado unaweka kondomu humo gonga like
 
Pombe haramu ni gongo lakini kama anauza bia hiyo haina shida
 
Ulinyimwa kazi kwenye ule udahili pole mbona umepanick au unamtaka umeandika kwa jazba tulia acha wivu hope anaku inspire sana mtoto wa kike kakutoa kamasi sijaielewa hiyo barua yako imekaa kichawi chawi ,ki wivu wivu,kimbea mbea, kipovu povu usijali kuna round ya pili utapata ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwe siwezi kufanya kazi ya kipato Haramu Nina maisha yangu sinahaja na ajira ya mtu pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu katika tabia ambayo muislamu safi kama wewe tunatarajia awenayo ni uvumilivu na upendo kwa wasio waislamu ,Pombe ni haramu kwa mujibu wa quran ,Je kwa mujibu wa dini za asili za wachaga ni haramu pia ? Je waabudu milima nao kwao ni haramu ? Kiongozi tusipokuwa wavumilivu,itatokea siku dini itakuwa na kitabu chao kitachosema kuvaa kanzu nyeupe ni haramu ,hatuta wabishia tutawasihi wao wasivae ila waheshimu uislamu na waislamu .Unapoanza kuamini dini yako ndo standard sahihi na zawengine ni chini ya dini yako unaanzisha vita isiyo na mwisho wala faida ,Natumaini kama wewe muislamu wa kweli kwa nini utumie nguvu kubwa kupinga kitu haramu ,kwani mungu wako ni mdhaifu kiasi cha kuhitaji msaada wa mtu mdhaifu kama mimi na wewe.

Njia pekee ya kuupa uislamu heshima ,kwanza ni kuujua uislamu kwa undani ,kisha kuwahurumia na kuwapenda wasio waislamu ili kwa upendo wako na uvumilivu huenda wakavutiwa kujua mungu wako ni yupi na hatimaye nao wakaslimu.
Nimekuelewa sana Tatizo watu wame nitafsiri tofauti mm nimepinga KUTUMIKA PICHA YA MZEE MAJUTO AMBAYE NI MAREHEMU KAMA KIVUTIO CHA BAR AU WATU KUJA KUNYWA POMBE!!!

Naomba unielewe vizuri hao wanataka kunywa mapombe watajuana na Mola wao kulingana na Itiqad na Iman zao

Kwaiyo mm cjakashifu iman ya mtu au Uhuru wake bali nimepinga matumizi wa Picha ya marehemu ktk Sehemu ya kunywea Pombe haifai jambo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbeya tu na wivu pombe haram kwako tu kama vp ongea nae aweke hapo picha ya mkeo ili nafsi yako iridhike matak* yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na Adabu na Heshima usiwe unaokota maneno jalalani unakuja kuyatemea hapa ukome tena ukome kama wewe ni mlevi wa pombe ni wewe mwenyewe na Nafsi kama haujaelewa dhumuni la Uzi pita kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana Tatizo watu wame nitafsiri tofauti mm nimepinga KUTUMIKA PICHA YA MZEE MAJUTO AMBAYE NI MAREHEMU KAMA KIVUTIO CHA BAR AU WATU KUJA KUNYWA POMBE!!!

Naomba unielewe vizuri hao wanataka kunywa mapombe watajuana na Mola wao kulingana na Itiqad na Iman zao

Kwaiyo mm cjakashifu iman ya mtu au Uhuru wake bali nimepinga matumizi wa Picha ya marehemu ktk Sehemu ya kunywea Pombe haifai jambo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uandishi huu nauhakika wewe ni msomi,mkuu hivi leo mimi nikianzisha dini ikasema kuvaa kanzu ni haramu ,utanielewa nikisema nina uvumilivu wa kidini lakini nasema '' waislamu na mikanzu yao'' ,bar ile ni ya wasanii kukutana hususani waigizaji lengo la kuweka picha ni kuheshimu mchango wake ,sasa pale hawauzi pombe tuu wanauza soda na maji pia .
 
Yaani kwakuwa imani yako imekuaminisha kuwa pombe ni haramu basi unachukulia kwamba huo mtazamo wako una apply kwakila mtu pasipo wewe kutazama misingi ya imani yao inamtazamo upi juu ya hilo .( huo ni ubinafsi )

Halafu unaanzia wapi kumpangia mtu namna ya ku-invest pesa ambazo haujui chanzo kilicho pelekea kufika mikononi mwake ni kipi _ Kama serikali ya nchi inataitambua biashara hiyo basi wewe huna sababu za kui-judge

Binafsi sifurahishwi na watu ambao wanaamini kwamba mbinguni kila mtu atabeba msalaba wake halafu hapo hapo wana walazimisha watu wengine waweze kuishi kama wao " As if mliambiwa kwamba matendo ya huyo mtu yanaweza ku-sababisha mchomwe moto pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimekusudia matumizi ya picha ya Mzee Majuto kutumika Pub kama Bango jambo hili mm ndio nililo lipinga hayo mapombe mtajuana wenyewe na Mungu wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom