Unahisi mkuu ni Sawa kumpa yeye kifo cha Amani na kumpa nafasi ya kutubu wakati yeye hakutoa vyote hivyo kwa mtoto aliyemuua?
Kwanini mtu kama huyu tunampa nafasi ya kula chakula kizuri Bure, kukaa kwa Amani Bure akisubiria huko kunyongwa na zaidi anapewa nafasi kujiandaa kwa kutubu na mengineneyo wakati yeye kadhulumu uhai wa mtoto asiye na hatia, kamtupa mtoto aliwe na mamba na unajua kisaikolojia inauma kiasi gani kwa mtoto ambae Anamuona baba yake kama mlinzi mkuu lakini ndio ansukumiza mtoni aliwe na mamba?