Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumtupa mtoto wake Mto Ruaha

[emoji26][emoji26][emoji24]
 
Mama umeona nawe ila naye kasema ugumu wa maisha umechangia yeye kumuua mwanaye .
Mimi sio mama. Hilo ni jina tu la FB. Ugumu wa maisha upo toka dunia iumbwe. Hakuna kisingizio chochote cha kuondoa uhai wa mtu.
 
Umasikini unatutesa Tz. Nchi za wenzetu mtoto huyu asingezaliwa, ingeshaonekana kwenye vipimo vya mwanzo kabisa, na yote ni kuepuka majanga kama haya. Uchumi mbovu wa kuungaunga, utaweza kumhudumia mtoto mlemavu maisha yake yote, bila ya usaidizi wa serikali kupitia taasisi maalum za kuwahudumia wenye ulemavu?
Wizara ya afya, jamii na serikali kwa ujumla, mjitafakari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…