Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] nacheka Ni adhabu ulipanga wamfanyie mzee yule kumkata kichwa hadharani jmnDah!Wamemuonea sana mzee m-nini sijui!Ilipaswa apewe adhabu nyepesinyepesi tu:-
1-Afilisiwe kila kitu ifute kidogo machozi ya waathirika.Naamini atakuwa na mashamba kule Ismani.Ni sehemu ya barabarani na potential.
2-Anapigishwa magoti na lingetumika jambia/panga lililonolewa vizuri mbele ya umma,kichwa chake kinafyekwa mara moja,
3-Mwili wa huyo mzee punguani,ungerudishwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo cha milele.
Anaenda kula tu ugali bure na kufuga chawa makwapani.
Noma sana. Ukimwi wanapasiana
Yaani mtu kama huyu hukumu Bora angenyongwa tu kifungo na faini haitoshi kabisaMahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI.
Mahakama imesema Mzee Msabato mwenye umri wa miaka 78 alikuwa akiishi kitongoji cha Idodi , Isimani Mkoani Iringa na alikuwa jirani na Mtoto huyo na mara kadhaa alikuwa akihubiri Injili.
Hukumu imetolewa baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ikiwemo la kubaka Mtoto mwenye umri wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI kwa makusudi huku akijua yeye ni Mwathirika na anatumia dawa za kufubaza UKIMWI (ARVs) na kosa la tatu ni kujaribu kubaka Mtoto huyo wa miaka 11 aliyekuwa akisoma darasa la tano hivyo kosa la kwanza amehukumiwa jela maisha na kosa la pili akahukumiwa tena jela maisha.
“Siku ya kwanza baaada ya kumbaka Mtoto alimpa shilingi 200 na kumuambia asiseme kwa Mtu yeyote na katika tukio jingine Mtuhumiwa alikutana na Mtoto huyo mtoni na alipojaribu kumlazimisha Mtoto huyo Mama wa Mtoto alitokea na Mzee alikimbia na taratibu za kumkamata zikafanyika”
Kesi hiyo imesimamiwa na Waendesha mashtaka wa Serikali Nashon Saimon pamoja na Balton Mayage na ilikuwa na Mashahidi wanne akiwemo Daktari aliyethibitisha Mtoto huyo alikuwa ameingiliwa na kuambukizwa UKIMWI.
Huyu akikosa dawa siku nne tu hata December hatobaoi chali [emoji16]Mtu ana miaka 78 alafu ana umwa ukimwi aisee Mungu tusaidie
Kila nikifikiria ninavyolea watoto wakiwemo mabinti halafu anatokea mzee mmoja mjinga anaharibu utaratibu,roho inakosa uvumilivu.Tumeumbwa tofauti hasa tukiwa na hasira.[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] nacheka Ni adhabu ulipanga wamfanyie mzee yule kumkata kichwa hadharani jmn
Nani atamfanyia zoezi Hilo kwangu mm siwezi mkuu[emoji23] hata kupiga nondo tu ya kichwa siwezi
Sawasawaalikuwa akihubiri Injili.
😂😂😂😂Mtu ana miaka 78 alafu ana umwa ukimwi aisee Mungu tusaidie
Kwsnj hukumu ya kifo haikuwepo hafi wampe unafuu wa hukumu namna hiyo?Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI.
Mahakama imesema Mzee Msabato mwenye umri wa miaka 78 alikuwa akiishi kitongoji cha Idodi , Isimani Mkoani Iringa na alikuwa jirani na Mtoto huyo na mara kadhaa alikuwa akihubiri Injili.
Hukumu imetolewa baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ikiwemo la kubaka Mtoto mwenye umri wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI kwa makusudi huku akijua yeye ni Mwathirika na anatumia dawa za kufubaza UKIMWI (ARVs) na kosa la tatu ni kujaribu kubaka Mtoto huyo wa miaka 11 aliyekuwa akisoma darasa la tano hivyo kosa la kwanza amehukumiwa jela maisha na kosa la pili akahukumiwa tena jela maisha.
“Siku ya kwanza baaada ya kumbaka Mtoto alimpa shilingi 200 na kumuambia asiseme kwa Mtu yeyote na katika tukio jingine Mtuhumiwa alikutana na Mtoto huyo mtoni na alipojaribu kumlazimisha Mtoto huyo Mama wa Mtoto alitokea na Mzee alikimbia na taratibu za kumkamata zikafanyika”
Kesi hiyo imesimamiwa na Waendesha mashtaka wa Serikali Nashon Saimon pamoja na Balton Mayage na ilikuwa na Mashahidi wanne akiwemo Daktari aliyethibitisha Mtoto huyo alikuwa ameingiliwa na kuambukizwa UKIMWI.
Kichaka cha kuficha ufarasi wake.Watoto wapewe tahadhari kubwa na wawe macho na matapeli kama huyo.Sawasawa
Sana yaanKichaka cha kuficha ufarasi wake.Watoto wapewe tahadhari kubwa na wawe macho na matapeli kama huyo.
Ilo lizee itakuwa ni yale yanajifanya kataa ndoa,afu nyge zikiwazid hawana pa kuzipeleka wanabaka ovyo watu.Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI.
Mahakama imesema Mzee Msabato mwenye umri wa miaka 78 alikuwa akiishi kitongoji cha Idodi , Isimani Mkoani Iringa na alikuwa jirani na Mtoto huyo na mara kadhaa alikuwa akihubiri Injili.
Hukumu imetolewa baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ikiwemo la kubaka Mtoto mwenye umri wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI kwa makusudi huku akijua yeye ni Mwathirika na anatumia dawa za kufubaza UKIMWI (ARVs) na kosa la tatu ni kujaribu kubaka Mtoto huyo wa miaka 11 aliyekuwa akisoma darasa la tano hivyo kosa la kwanza amehukumiwa jela maisha na kosa la pili akahukumiwa tena jela maisha.
“Siku ya kwanza baaada ya kumbaka Mtoto alimpa shilingi 200 na kumuambia asiseme kwa Mtu yeyote na katika tukio jingine Mtuhumiwa alikutana na Mtoto huyo mtoni na alipojaribu kumlazimisha Mtoto huyo Mama wa Mtoto alitokea na Mzee alikimbia na taratibu za kumkamata zikafanyika”
Kesi hiyo imesimamiwa na Waendesha mashtaka wa Serikali Nashon Saimon pamoja na Balton Mayage na ilikuwa na Mashahidi wanne akiwemo Daktari aliyethibitisha Mtoto huyo alikuwa ameingiliwa na kuambukizwa UKIMWI.
Umewaza kama mimi. Mijitu mingine sijui ikojeHuyu mzee hajakutana na chata kama mimi hata jela hasingefika huyu.
Ukatili ambao ningemfanyia dunia ingesimama iomboleze.
Adhabu nyepesi nyepesi na ulivyozitaja nimecheka sana! 😂😂😂Dah!Wamemuonea sana mzee m-nini sijui!Ilipaswa apewe adhabu nyepesinyepesi tu:-