edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
C angenyongwa mbele ya mahakama tu mkuu kazii ikwishe hphp ,ss anaendaa kula Bure chakula Chana nakulala Bure na kulindwa ulinzi salama maishà yake yotee ,,
Serikali iweke Sheria hawa wanaouwa wenzao nao wawe wanauwawa live jamii ikitizama kupitiaa tv na mitandao yt ya kijamii Ili kuepushana na matendo ya hovyo hv na yakuumiza watt wadogo..
Shenzi kabs huyo Mzee.