Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] nacheka Ni adhabu ulipanga wamfanyie mzee yule kumkata kichwa hadharani jmn

Nani atamfanyia zoezi Hilo kwangu mm siwezi mkuu[emoji23] hata kupiga nondo tu ya kichwa siwezi
 
Yaani mtu kama huyu hukumu Bora angenyongwa tu kifungo na faini haitoshi kabisa
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] nacheka Ni adhabu ulipanga wamfanyie mzee yule kumkata kichwa hadharani jmn

Nani atamfanyia zoezi Hilo kwangu mm siwezi mkuu[emoji23] hata kupiga nondo tu ya kichwa siwezi
Kila nikifikiria ninavyolea watoto wakiwemo mabinti halafu anatokea mzee mmoja mjinga anaharibu utaratibu,roho inakosa uvumilivu.Tumeumbwa tofauti hasa tukiwa na hasira.
 
Kwsnj hukumu ya kifo haikuwepo hafi wampe unafuu wa hukumu namna hiyo?
 
Ilo lizee itakuwa ni yale yanajifanya kataa ndoa,afu nyge zikiwazid hawana pa kuzipeleka wanabaka ovyo watu.
 
Adhabu nyepesi nyepesi na ulivyozitaja nimecheka sana! 😂😂😂
 
hiki kifungo kilipaswa kumbatana na kazi ngumu sambamba na bakora 12 kila uchwao
 
Kwa baadhi ya kanda hapa Tz ni kama haya matukio yanazidi sana, adhabu hazitoshi? Mi naona kama jamii tunapaswa kufanya zaidi.

Kukazia adhabu, kampeni za kupinga vitendo vya kikatili ziimarishwe, mashirika yasiyo ya kiserikali na asasi mbali mbali ziache kujificha mijini ziende huko kwenye grassroots, viongozi wa dini na wa kimila wasaidie kuwapa elimu wana jamii ikiwa vitendo hivi vinahusishwa na imani za kishirikina na serikali itilie mkazo masuala ya ustawi wa jamii na malezi jumuishi.

Kama jamii tunajali? Au ndio kila mtu anapambana kulinda wanae, SMH 🤦🏻‍♀️.
 
Selemani Gwabuga maarufu Msabato(78) amehukumiwa kifungo cha maisha mara mbili na sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI na Mahakama ya Wilaya ya Iringa .

Kesi hiyo imesimamiwa na Waendesha mashtaka wa Serikali Nashon Saimon pamoja na Balton Mayage na imekuwa na Mashahidi wanne akiwemo Daktari aliyethibitisha kuwa Mtoto huyo ameingiliwa na kuambukizwa UKIMWI.

Hukumu imetolewa baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ikiwemo la kubaka Mtoto mwenye umri wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya UKIMWI kwa makusudi huku akijua yeye ni Mwathirika na anatumia dawa za kufubaza UKIMWI (ARVs) na kosa la tatu ni kujaribu kubaka Mtoto huyo wa miaka 11 aliyekuwa akisoma darasa la tano hivyo kosa la kwanza amehukumiwa jela maisha na kosa la pili akahukumiwa tena jela maisha.

#EastAfricaTv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…