Ukienda kwa mwamposa unarudi na alama usoni? Je, kwa mikwara hiyo watawatambuaje hao waumini hata wawazuie kupokea hiyo wasemayo >ekaristiQUOTE]
Imani imani wala hawana alama ila watajipeleka wenyewe nafsi itakuwa inamsuta kama vile unafanya makosa siri lakini unaenda kuyasema kwa mchungu/Padre nafsi inakuhukumu.