Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Acha wivu wako wewe. UWT mtetezi wa wanawake wanyonge na leo imerejesha tabasamu kwa mama Maria ngoda
Sikubaliana na wewe. Sio wivu bali ni Haki iliyotolewa na chombo cha Wataalam kinachosimamia Utolewaji wa Haki nchini Tz. Je, UWT ni chombo cha wataalam?? Tuwekee wazi namna ambavyo hiyo UWT imehusika ili tukuelewe.
 
Tengeneza tatizo, tatua tatizo halafu jisifu.
 
Luca kama Luca!
 
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.

Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
 
Sikubaliana na wewe. Sio wivu bali ni Haki iliyotolewa na chombo cha Wataalam kinachosimamia Utolewaji wa Haki nchini Tz. Je, UWT ni chombo cha wataalam?? Tuwekee wazi namna ambavyo hiyo UWT imehusika ili tukuelewe.
UWT inawanasheria ambao ndio waliokwenda kupambana mpaka kuhakikisha kuwa mama huyo anakuwa huru na kurudi uraiani
 
Wangese wa ccm endeleeni kujifanya nini ndio mmemtoa gerezani na mtuambie nani alimweka humo jela kama Sio ninyi!?
 
Kesi imesimamiwa na TLS si umoja wa wanawake wa ccm wanaojiita umoja wa wanawake Tanzania
 
Mahakama zetu hazina mahakimu sahihi, Tz kama nchi kila sehemu kuna kasoro.
 
Wangese wa ccm endeleeni kujifanya nini ndio mmemtoa gerezani na mtuambie nani alimweka humo jela kama Sio ninyi!?
Hata wewe n mibangi yako siku ukipata tatizo basi kimbilia CCM ili usaidiwe na CCM Chama kilicho mtetezi wa wanyonge.
 
Walio mshika na kumshita ni Serikali ya CCM, walio mfunga miaka 22 ni mahakama za serikali ya CCM.

Kutatua tatizo walilolizalisha wao, walio mtoa kifungoni ni UWT Tawi la CCM Kwa kuanguzwa na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…