Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Acha ujinga
Kweli ita baki kuwa kweli.
TLS ndio wali simamia rufaa.
Ccm tangu lini wawe na huruma na upendo na wananchi kabla ya kipindi cha kuomba kura?
Sukari ime washinda mta weza simamia haki za wanyonge nyie?
Usuwe u a juingiza hapa Jf bila kuwa na facts..
CCM Ndio imerejesha tabasamu la mama mjane aliyekuwa amekata tamaa na kuishi kipweke gerezani,huku watoto wake yatima wakihangaika na kuteseka mitaani.
 
Watu wa kwanza kupigia kelele
Hukumu ya huyo mama syo uwt, hao waliingilia mpira tu
Any way huyo mama hakustahili hukumu kama hiyo..
Vp huyo hakim aliyemhukumu bado mko naye au

Ova
CCM Ndio Tumaini la wanyonge.hatimaye imerejesha furaha na machozi ya furaha kwa mama mjane mama Maria. CCM chini ya UWT iliweka kambi ilinga wakati wote kuhakikisha kuwa mama huyu mnyonge anapata haki yake na kuachiwa huru.
 
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.

Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.

Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

----
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Bado hujaacha kuandika upuuzi? Mahakama ipi inafanya kazi kwa Uhuru bila kufuata maelekezo ya CCM? Kinana mwenyewe alikiri mbele ya camera kwamba ni wao waliowafutia kesi wapinzani. Hujiuli tangu lini kiongozi wa chama akawa na uwezo wa kufutia watuhumiwa kesi.

Huyo mama si mbumbu kama wwewe. Kwa hiyo baaada ya UWT kumtetea ndiyo sheria zikabadilika au hiyo nyama iligeauka kuwa swala?

Wewe ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa, badala ya kupaza sauti vyombo vyetu vya kutoa haki vitende iliyo haki unatuletea upuuzi. Ni wangapi ambao wako magerezani kwa makosa kama hayo na wamekosa haki?
 
Acheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.
We mtu wa ajabu kweli,hivi bila media na mitandao ya kijamii kupaza sauti
Nyie huko uwt mngejuwa

Ova
 
CCM Ndio Tumaini la wanyonge.hatimaye imerejesha furaha na machozi ya furaha kwa mama mjane mama Maria. CCM chini ya UWT iliweka kambi ilinga wakati wote kuhakikisha kuwa mama huyu mnyonge anapata haki yake na kuachiwa huru.
Acha kuwaita watu wanyonge ili muwanyonge....
Kuna sehemu zingine ukiwaita watu hivyo unaweza pata dhoruba ohoo

Ova
 
Nasema picha hizo siyo mimi. Mimi naishi mbele yenu mbele ya wakati na nilijuwa wajinga kama wewe mtahangaika sana kutafuta picha zangu mitandaoni
Ungejua sisi ni CCM dam dam kukuzidi, usingetutukana. Tatizo lako unajikomba. CCM damdam huwa hatujikombi. Tunasimamia ukweli hata kama kiongozi wa CCM akipindisha ukweli tunamshukia
 
Bado hujaacha kuandika upuuzi? Mahakama ipi inafanya kazi kwa Uhuru bila kufuata maelekezo ya CCM? Kinana mwenyewe alikiri mbele ya camera kwamba ni wao waliowafutia kesi wapinzani. Hujiuli tangu lini kiongozi wa chama akawa na uwezo wa kufutia watuhumiwa kesi.

Huyo mama si mbumbu kama wwewe. Kwa hiyo baaada ya UWT kumtetea ndiyo sheria zikabadilika au hiyo nyama iligeauka kuwa swala?

Wewe ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa, badala ya kupaza sauti vyombo vyetu vya kutoa haki vitende iliyo haki unatuletea upuuzi. Ni wangapi ambao wako magerezani kwa makosa kama hayo na wamekosa haki?
Acha hasira zako ndugu yangu.wewe kama una matatizo hata ya familia tu basi yalete CCM yatapatiwa majibu na wewe utarejesha tabasamu katika moyo wako na kuacha mihasira yako kama mgonjwa wa akili.
 
Ungejua sisi ni CCM dam dam kukuzidi, usingetutukana. Tatizo lako unajikomba. CCM damdam huwa hatujikombi. Tunasimamia ukweli hata kama kiongozi wa CCM akipindisha ukweli tunamshukia
Kazi ya CCM Ni kuwatetea na kuwapigania wanyonge.wewe endelea kuwatetea wahuni wahuni na madalali wa haki za watu.
 
Ni vizuri UWT kufikiria namna ya kuanzisha ka mfuko kadogo/fund raising ya kumsaidia huyo Mjane alishe familia yake.
 
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.

Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.

Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

----
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
UWT imeskiza kilio cha wa akina Mama, UWT imefanyia kazi kilio hicho kwa vitendo....
Furaha ya muMama moja, ni furaha ya waMama wote Tanzania....
UWT umewafuta machozi wamama wa TZ...

Mungu Ibariki CCM,
Mungu mbariki kiongozi wa chama Tawala Dr.SSH..
Kidumu chama cha Mapinduzi

R.I.P Laigwanani comrade ENL
 
Lucas mwashambwa ni mfa maji! Alianza kumsifia Mama, alipoona amempotezea, akahamia kwa Tulia! Baada ya kuona na yeye amempotezea, sasa amehamia kwa Paul Makonda!

Kote huko anahangaika tu. Njaa imemkaba mpaka kooni! U CHAWA wenyewe hauwezi! Maana anamsifia mtu mpaka anagundua kabisa dogo ni mnafiki na ana njaa kupitiliza.
Kote huko anahangaika tu. Njaa imemkaba mpaka kooni! U CHAWA wenyewe hauwezi! Maana anamsifia mtu mpaka anagundua kabisa dogo ni mnafiki na ana njaa kupitiliza.
 
Kuna watu ni wanafiki sana. Wamesahau vuguvugu la kumpigania huyo mama lilianzia kwenye mitandao ya kijamii; ikiwemo jamii forums mara tu baada ya kuhukumiwa hicho kifungo.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.[emoji23]
 
Ni jambo jema lakini wanaoonewa ni wengi sana,wanatumikia vifungo na machozi ya damu
 
Toka maktaba

01 February 2024
Iringa, Tanzania
Na Mwandishi Wetu

MAHAKAMA Kuu ya Mkoa wa Iringa chini ya Jaji Mfawidhi Mgetta leo Februari 1, 2024 imesikiliza kesi ya Rufaa kati ya Maria Ngoda dhidi ya Jamuhuri.

Akiongoza jopo la Mawakili upande wa mkata rufaa Wakili Moses Ambwindile amesema leo wametetea sababu zao za Rufaa 14 mbele ya Jaji Mfawidhi.

Aidha Jaji Mgetta ameahirisha shauri mpaka hapo kesho tarehe 2 Februari 2024. Mfungwa Maria Ngoda (mkata rufaa) alihukumiwa kifungo cha miaka 22 kwa kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3 Novemba 2023

1708093247349.png
 
Tusingepaza sauti huyu mama angeozea jela.
Laana iwe juu ya kila aliyehusika kumfunga Mama Mtanzania maskini kwa vipande vya swala na kuwaacha mafisadi
 
CCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama kuna mahali unaona kuwa umeonewa na umenyiwma haki yako basi lete kero yako ndani ya CCM ili usaidiwe kupata haki yako.
CCM imeanziasha mifumo mibovu inayowatesa wananchi kama yule mama na kuwaacha mafisadi ya CCM yagawane pesa
Leo hii haohao CCM wakaona mahali pa kuchukulia kiki kwa huyo mama
 
Back
Top Bottom