Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #121
CCM Ndio imerejesha tabasamu la mama mjane aliyekuwa amekata tamaa na kuishi kipweke gerezani,huku watoto wake yatima wakihangaika na kuteseka mitaani.Acha ujinga
Kweli ita baki kuwa kweli.
TLS ndio wali simamia rufaa.
Ccm tangu lini wawe na huruma na upendo na wananchi kabla ya kipindi cha kuomba kura?
Sukari ime washinda mta weza simamia haki za wanyonge nyie?
Usuwe u a juingiza hapa Jf bila kuwa na facts..
CCM Ndio Tumaini la wanyonge.hatimaye imerejesha furaha na machozi ya furaha kwa mama mjane mama Maria. CCM chini ya UWT iliweka kambi ilinga wakati wote kuhakikisha kuwa mama huyu mnyonge anapata haki yake na kuachiwa huru.Watu wa kwanza kupigia kelele
Hukumu ya huyo mama syo uwt, hao waliingilia mpira tu
Any way huyo mama hakustahili hukumu kama hiyo..
Vp huyo hakim aliyemhukumu bado mko naye au
Ova
Bado hujaacha kuandika upuuzi? Mahakama ipi inafanya kazi kwa Uhuru bila kufuata maelekezo ya CCM? Kinana mwenyewe alikiri mbele ya camera kwamba ni wao waliowafutia kesi wapinzani. Hujiuli tangu lini kiongozi wa chama akawa na uwezo wa kufutia watuhumiwa kesi.Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
We mtu wa ajabu kweli,hivi bila media na mitandao ya kijamii kupaza sautiAcheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.
Acha kuwaita watu wanyonge ili muwanyonge....CCM Ndio Tumaini la wanyonge.hatimaye imerejesha furaha na machozi ya furaha kwa mama mjane mama Maria. CCM chini ya UWT iliweka kambi ilinga wakati wote kuhakikisha kuwa mama huyu mnyonge anapata haki yake na kuachiwa huru.
Ungejua sisi ni CCM dam dam kukuzidi, usingetutukana. Tatizo lako unajikomba. CCM damdam huwa hatujikombi. Tunasimamia ukweli hata kama kiongozi wa CCM akipindisha ukweli tunamshukiaNasema picha hizo siyo mimi. Mimi naishi mbele yenu mbele ya wakati na nilijuwa wajinga kama wewe mtahangaika sana kutafuta picha zangu mitandaoni
Acha hasira zako ndugu yangu.wewe kama una matatizo hata ya familia tu basi yalete CCM yatapatiwa majibu na wewe utarejesha tabasamu katika moyo wako na kuacha mihasira yako kama mgonjwa wa akili.Bado hujaacha kuandika upuuzi? Mahakama ipi inafanya kazi kwa Uhuru bila kufuata maelekezo ya CCM? Kinana mwenyewe alikiri mbele ya camera kwamba ni wao waliowafutia kesi wapinzani. Hujiuli tangu lini kiongozi wa chama akawa na uwezo wa kufutia watuhumiwa kesi.
Huyo mama si mbumbu kama wwewe. Kwa hiyo baaada ya UWT kumtetea ndiyo sheria zikabadilika au hiyo nyama iligeauka kuwa swala?
Wewe ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa, badala ya kupaza sauti vyombo vyetu vya kutoa haki vitende iliyo haki unatuletea upuuzi. Ni wangapi ambao wako magerezani kwa makosa kama hayo na wamekosa haki?
Kazi ya CCM Ni kuwatetea na kuwapigania wanyonge.wewe endelea kuwatetea wahuni wahuni na madalali wa haki za watu.Ungejua sisi ni CCM dam dam kukuzidi, usingetutukana. Tatizo lako unajikomba. CCM damdam huwa hatujikombi. Tunasimamia ukweli hata kama kiongozi wa CCM akipindisha ukweli tunamshukia
90%Nje ya mada . Hivi kuna uwezekano wa mahakimu na mawakili kuwa makada wa ccm?
UWT imeskiza kilio cha wa akina Mama, UWT imefanyia kazi kilio hicho kwa vitendo....Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Kote huko anahangaika tu. Njaa imemkaba mpaka kooni! U CHAWA wenyewe hauwezi! Maana anamsifia mtu mpaka anagundua kabisa dogo ni mnafiki na ana njaa kupitiliza.Lucas mwashambwa ni mfa maji! Alianza kumsifia Mama, alipoona amempotezea, akahamia kwa Tulia! Baada ya kuona na yeye amempotezea, sasa amehamia kwa Paul Makonda!
Kote huko anahangaika tu. Njaa imemkaba mpaka kooni! U CHAWA wenyewe hauwezi! Maana anamsifia mtu mpaka anagundua kabisa dogo ni mnafiki na ana njaa kupitiliza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.[emoji23]Kuna watu ni wanafiki sana. Wamesahau vuguvugu la kumpigania huyo mama lilianzia kwenye mitandao ya kijamii; ikiwemo jamii forums mara tu baada ya kuhukumiwa hicho kifungo.
kwamba ulidhani itakua zero percent 🐒
Huwa sidhaniikwamba ulidhani itakua zero percent [emoji205]
R.I.P Laigwanani comrade ENL
CCM imeanziasha mifumo mibovu inayowatesa wananchi kama yule mama na kuwaacha mafisadi ya CCM yagawane pesaCCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama kuna mahali unaona kuwa umeonewa na umenyiwma haki yako basi lete kero yako ndani ya CCM ili usaidiwe kupata haki yako.
Ukiwa na shida nenda ofisi ya CCM ukaeleze kero yako na utasaidiwa haraka sana.maama CCM Ni watetezi wa wanyonge.Ni jambo jema lakini wanaoonewa ni wengi sana,wanatumikia vifungo na machozi ya damu