Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Hahaha!! Tengeneza tatizo Kisha tatua tatizo
 
UWT wametumia pesa kupata ushindi ? Maana komredi Makonda katuambia tusiende mahakamani kama hatuna hela maana hatutashinda
 
with money I can do anything!
 
Chama gani kilihusika kutunga hiyo Sheria?

Chama gani Chenye wabunge wengi bungeni ambacho kinaweza kufuta hiyo Sheria?

Ukipata majibu Njoo
 
SISIEM + wanajitekenya wenyewe + wanacheka wenyewe= MAJUHA....
 
UWT wametumia pesa kupata ushindi ? Maana komredi Makonda katuambia tusiende mahakamani kama hatuna hela maana hatutashinda
Ulishaambiwa kuwa wewe ukiwa na kero basi wewe nenda na kimbilia CCM upatiwe msaada .
 
Mkiwambiwa CCM ni mabumunda muwe mnaelewa. Yani walitengeza tatizo wenyewe halafu wanajifanya kulitatua wenyewe ili kujitafutia popularity ya wananchi. Ni mambumbu pekee ndio hawataelewa michezo yenu michafu mnayoicheza
 
siasa kuingilia mambo ya kisheria. Je angekuwa mwanaume jela ingekuwa halali yake siyo?
 
Wewe Lucas katibu mwenezi wako amewataka wanyonge wasikimbilie mahakamani kwa sababu hawatapata haki! Wewe unashawishi tuende mahakamani huu ni ukosefu wa adabu kwa viongozi wako.
 
Mkiwambiwa CCM ni mabumunda muwe mnaelewa. Yani walitengeza tatizo wenyewe halafu wanajifanya kulitatua wenyewe ili kujitafutia popularity ya wananchi. Ni mambumbu pekee ndio hawataelewa michezo yenu michafu mnayoicheza
Wapi CCM ilitoa hukumu ya kumfunga mama mjane yule ? CCM haikutoa hukumu ndio maana iliamua kumtetea mahakamani mama yule mnyonge.
 
Wewe Lucas katibu mwenezi wako amewataka wanyonge wasikimbilie mahakamani kwa sababu hawatapata haki! Wewe unashawishi tuende mahakamani huu ni ukosefu wa adabu kwa viongozi wako.
Kwani huoni kuwa ni chama ndio kilichomsaidia? Huoni ndicho kilichokwenda kumpigania mahakamani? Ndio hapo ujuwe kuwa CCM Ni kimbilio la wanyonge
 
Huo ndiyo uozo wa serikali hasa katika mihimili. Mahakimu wako standby kudhulumu haki za raia wanyonge ili tu Mh Rais awaone katika uteuzi. Shame on you mahakama.
Halafu nyie UWT siyo kwamba mmeshinda bali UCCM umetumika hata Judge ametengua hukumu kisiasa. Wapo wengi wako jela kwa kuonewa namna hiyo. UWT fuatilieni .
 
Hizi nazo ni juhudi za mama?
 
Acha hasira zako ndugu yangu.wewe kama una matatizo hata ya familia tu basi yalete CCM yatapatiwa majibu na wewe utarejesha tabasamu katika moyo wako na kuacha mihasira yako kama mgonjwa wa akili.
Wenye upendo na nchi tunahitaji mahakama zitende haki na kusimama kama muhimili wa dola bila mashinikizo ya watawala na wanasiasa. Wewe unatuambia hili kupata haki shariti mwananchi awe na baraka za CCM. Una akili kweli wewe?

Twambie, Wakati huyu mama wa nyama ya swala akihukumiwa, kuna mwingine aliyekamatwa na rundo la pembe za ndovu na ghara la silaa aliachiwa. UWT ina mpango gani naye, au yenyewe haina uchungu na rasilimali za nchi?
 
Kama Lucas, na wewe ni wale chawa mnaotaka ili mtu kupata haki kisheria inamlazimu apitie CCM? Tunahitaji mahakama huru siyo hizi za mashinikizo ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…