Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakuomba niniWewe mbona hawakutetei ukapata ajira huko wanakuacha unakuwa ombaomba tu humu jukwaani?
Imekuwaje leo umeandika kistaarabu kiasi hicho wakati nimezoea kuona wewe muda wote ukitukana matusi na kuombea vifo tu utafikiri wewe ni Mungu? Au simu umemuazima au kumuachia mtu mwingine?Mama uliyerudishwa uraiani karibuni Sana lakini Tanzania imejaa maigizo ya kutosha. Ulihukumiwa miaka 22 jela rufaa ikakatwa na UWT. Kwangu Mimi hapo ndipo maigizo yalipo.
Wasikilize TLS walio mtoa huyo mama wakiwa naye viwanja vya mahakama baada hukumu.Ni UWT
Mleta mada umepotosha kwa 100%.Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Huyo ni wakumsamehe tu maana yeye hujiandikia tu chochote kile kinachomjia kichwani.Kakuomba nini
Acha wivu wewe.kwa hiyo unataka kusema kuwa huyo mama mjane na mnyonge hajaachiliwa huru? Unataka kusema kuwa hujasikia kazi kubwa iliyofanywa na CCM nyuma ya pazia kama alivyotamka mhusika? Usicheze na CCM Wewe. CCM Ni dude kubwa sana ambalo likiamua kuingia vitani lazima lipate ushindi wa kishindooMleta mada umepotosha kwa 100%.
Yule mama ameachiwa huru baada ya kushinda rufaa yake kwenye mahakama ya kanda, kesi ambayo imesimamiwa kwa 100% na chama cha mawakili wa Tanganyika (TLS), na hakuna mtu wala taasisi yoyote iliyowalipa mawakili hao au kugharamia kesi hiyo.
Moderator wa JF mnapaswa kuwa makini na mahiri katika kuchuja taarifa ili kuifanya JF kuwa chanzo cha uhakika cha kutoa taarifa.
Alifungwa na mahakama na siyo na CCM .Ndio maana CCM ikaamua kumpigania kwa nguvu zake zote yule mama mjane.Unataka tuipongeze CCM Kwa kumfunga au kwakumUachia?
CCM imefanya kazi ya kijasusi na kikomandoo nyuma ya pazia mpaka ushindi wa kishindo ukapatikana ulioleta tabasamu na furaha kwa mama yule mjane .CCM Ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.Mleta mada anapaswa kupigwa ban kwa kuleta taarifa yenye mwelekeo wa kupotosha.
Mama ameachiwa kwa msaada wa TLS na sio UWT.
Usiwe mbishi wewe.Acha wivu wewe.kwa hiyo unataka kusema kuwa huyo mama mjane na mnyonge hajaachiliwa huru? Unataka kusema kuwa hujasikia kazi kubwa iliyofanywa na CCM nyuma ya pazia kama alivyotamka mhusika? Usicheze na CCM Wewe. CCM Ni dude kubwa sana ambalo likiamua kuingia vitani lazima lipate ushindi wa kishindoo
Kama hujuwi kazi kubwa iliyofanywa na CCM nyuma ya pazia basi kaa na ubishi wako hapo hapo. Ukikua utaelewaUsiwe mbishi wewe.
Jifunze kusoma na kuelewa.
Nimesema mama ameachiwa huru kwa msaada wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) ambao walijitolea bure.
Ni uongo na upotoshaji kusema wanawake wa CCM ndio wamehusika katika kufanikisha kuachiwa huru kwa mwanamke huyo.
Acha ujinga wewe. Mimi Niko Iringa alichosema Zanzibar-ASP ndiyo sahihi.Acha wivu wewe.kwa hiyo unataka kusema kuwa huyo mama mjane na mnyonge hajaachiliwa huru? Unataka kusema kuwa hujasikia kazi kubwa iliyofanywa na CCM nyuma ya pazia kama alivyotamka mhusika? Usicheze na CCM Wewe. CCM Ni dude kubwa sana ambalo likiamua kuingia vitani lazima lipate ushindi wa kishindoo
Jifunze hata kuushughulisha ubongo wako.Alifungwa na mahakama na siyo na CCM .Ndio maana CCM ikaamua kumpigania kwa nguvu zake zote yule mama mjane.
Wasikilize TLS walio mtoa huyo mama wakiwa naye viwanja vya mahakama baada hukumu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=CVpeng__RBo&t=319s&pp=ygUVQXNoaW5kYSBydWZhYSwgSXJpbmdh
Bawacha tangia lini wameanza kutetea wananchi na kuacha kazi ya kutetea matumbo yao inayohusu mapendekezo ya kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo.Acha ujinga wewe. Mimi Niko Iringa alichosema Zanzibar-ASP ndiyo sahihi.
Kama sifa basi wangepewa kina Mgonukulima na wenzake ambao ni viongozi wa BAWACHA Iringa.
Aione Lucas mwashambwa kwenye jalada.Hapa Bado watakuja kubisha na kuipaisha ccm dah,,,
Hii nchi hii
Kuwa na wabunge wawili kwenye Kila Jimbo Kuna tatizo gani?Bawacha tangia lini wameanza kutetea wananchi na kuacha kazi ya kutetea matumbo yao inayohusu mapendekezo ya kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo.
CCM imefanya kazi kubwa sana na ya kipekee sana nyuma ya pazia katika kuhakikisha kuwa mama huyu mjane na mnyonge anaachiliwa huru
Anzisheni majimbo yenu ndio milipe mishahara yenu inayotokana na pesa zenu.lakini pesa za mlipa kodi wa Tanzania hatuwezi kubali mapendekezo yenu yanayooshebulafi na uroho wa madaraka, bila kujali gharama kubwa mtakazo mbebesha mtanzania mlipa kodi.Kuwa na wabunge wawili kwenye Kila Jimbo Kuna tatizo gani?
Hao UWT wanavotaka kuwe na 50 Kwa 50 watafikiaje kwenye lengo Hilo haraka kama si Kwa njia iliyopendekezwa na BAWACHA??