minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
CCM wameiba kura zote ni uchakachuaji kwa kwenda mbele hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kaichagua CCMTundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza