CCM wameiba kura zote ni uchakachuaji kwa kwenda mbele hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kaichagua CCMTundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza
Wanaibaje kura wakati mlisema mtalinda kura? Au mlikuwa mnasinzia wakati wa kulinda?CCM wameiba kura zote ni uchakachuaji kwa kwenda mbele hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kaichagua CCM
Eti nini?CCM wameiba kura zote ni uchakachuaji kwa kwenda mbele hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kaichagua CCM
Sawa mkuu, kama unategemea mtashinda kwa kutegemea kura za wanachama wenu tu, basi mtasubiri sana mpaka mtazeeka.Wasio na chama hatuwataki huku, Opposition sio mchekea, sio lelemama kiasi ata warembo Kama wewe m-join
Huna chama ila unataja chama hujioni una shidaChadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!
Mawakala wakati wanatolewa hamkuonaWanaibaje kura wakati mlisema mtalinda kura? Au mlikuwa mnasinzia wakati wa kulinda?
Kumbe asiye na chama haruhusiwi kutaja chama? Unaweza kufikiria vizuri zaidi ya hapo!Huna chama ila unataja chama hujioni una shida
Dah dunia inaenda kasi sana mtu anareply comment hewaaa... sasa hii ni juju sio😂😂😂Chadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!
Maana ya neutral ni ngumu sanaa siku hizi mtu anatumia kutuaminisha hajaegemea upande wowote wakati post yake inaonesha ni ccmHuna chama ila unataja chama hujioni una shida
Unatajaje chama kama hauna chamaKumbe asiye na chama haruhusiwi kutaja chama? Unaweza kufikiria vizuri zaidi ya hapo!
Ukiwa neutrol baki neutrol chagua kilicho kupendeza thn baki neutrolKumbe asiye na chama haruhusiwi kutaja chama? Unaweza kufikiria vizuri zaidi ya hapo!
Walimwengua yule mgombea wa upinzani kimizengwe..Chumi alipita bila kupingwa
NdahihiKamwene wanyalukolo!
Ndauli?
Kwani vipi huko?Hali ni mbaya mno
Cosato Chumi alishinda bila kupingwa anasubiri kuapishwa tuMafinga mjini kuna mgombea upinzani kweli
MaCCM yanashinda.. Kwa range kubwa mnooKwani vipi huko?
Msigwa kashindwa kutetea jimbo?
Mnaleta habari za wale wayahudi waliolipa mpaka walinzi wa kaburi la Yesu ili waseme kwamba wanafunzi wake Yesu waliuiba mwili wa Yesu wakati wao walipokuwa wamelala.CCM wameiba kura zote ni uchakachuaji kwa kwenda mbele hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kaichagua CCM
Aisee pole yake Msigwa.MaCCM yanashinda.. Kwa range kubwa mnoo