n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Watanzania sio wajinga kuchagua saccos ya Mbowe kuwaongoza. Chama cha mfukoni, genge la wahuni nani anataka upuuzi. Mmevuna mlichopanda.CCM wameiba kura zote ni uchakachuaji kwa kwenda mbele hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kaichagua CCM
Kaangushwa?So sad..walau msigwa nilikuwa namuona anajielewa elewa.
Kichekesho ni pale ambapo hata wanamagamba walipokuwa hawamtaki mgombea pandikizi na akashinda "wako wanalia kama waliavyo wapinzani!!" Kwingine tetesi zasema kura zimezidi idadi ya wapigaji!! Kwingine mtu anakimbia na sanduku la kupigia kura huku askari wakimtazama!!!Msigwa na yule mama watatoshana nguvu, ila tuseme mmoja lazima mfumo umbebe.
Wananchi wategemeee miaka ya dhiki na shida kubwaMpaka muda huu SAA 11 asbh...tayari CCM tumesharudisha halmashauri mikononi mwetu.
Tundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza
Asante Mbeya, Iringa, Arusha na KilimanjaroMpaka muda huu SAA 11 asbh...tayari CCM tumesharudisha halmashauri mikononi mwetu.
Nasubiri maisha baada ya uchaguziAliyemshauri kushirikiana na wazungu kuhujumu taifa letu hamtakii mema. Mimi nilishawafuta Lissu, Maalim Seif na Zitto kwenye list yangu ya potential leaders!
Aliyemshauri kushirikiana na wazungu kuhujumu taifa letu hamtakii mema. Mimi nilishawafuta Lissu, Maalim Seif na Zitto kwenye list yangu ya potential leaders!
Tundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza
Wanaibaje kura wakati mlisema mtalinda kura? Au mlikuwa mnasinzia wakati wa kulinda?
Watanzania sio wajinga kuchagua saccos ya Mbowe kuwaongoza. Chama cha mfukoni, genge la wahuni nani anataka upuuzi. Mmevuna mlichopanda.
Anayeamuwa nani awe kiongozi wako si kura yako.Chadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!