Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mbona hii turn unaiangalia upande mmoja? Wote wameturn mkuuWaliopigia debe korona enzi za Magu kuwa hatua hazichukuliwi sasa ndio wavunjaji protokoli za kovidi lialia...what a turn of events.
Ni kweli..kabisa..wamebadilishana nafasiMbona hii turn unaiangalia upande mmoja? Wote wameturn mkuu
Umemaliza kila kitu. Virus vya korona hawachagui aina ya mikusanyiko. Kama angekuwa na nia kweli angesema mikusanyiko yote iepukwe.Mikusanyiko yote iwe ya lazima na isiyo ya lazima yaweza kueneza covid. Angesema amepiga marufuku mikusanyiko yote angeonekana yupo serious. Agizo lake kama mengine yaliyoanza na yanayofuata yamelenga kongamano la KATIBA Tazama watu walivyolundikana kwenye mabasi , masokoni, makanisani, wanafunzi madarasani nk... Aseme huku amechukua hatua gani. Watanzania sio mbumbumbu kiasi hicho.
Aseme wagonjwa wako wangapi na wapo hospitali gani. Vinginevyo hizi ni porojo tu
Ile sio kongamano, covid inaenea zaidi kwenye makongamano🤸♂️🐒🤣Sasa itakuwaje ile Asas Half Marathon tarehe 08/08....?