KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
"The creatures outside looked from pig to man ,and from man to pig, and from pig to man again,but already it was impossible to say which was which"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo unalala singidahivi mbio za mwenge bado zipo?
Mhusika ni Mnec wa ccm na mfadhili mkubwa wakununua upinzaniIle sio kongamano, covid inaenea zaidi kwenye makongamano🤸♂️🐒🤣
Mnasingizia corona 😂Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga amesitisha kwa muda shughuli zote zisizo za lazima zinazohusisha mikusanyiko pamoja na makongamano yasiyo ya lazima, ikiwa ni moja ya jtihada za mkoa huo katika kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona
Criteria #1: Isihusiane na mambo ya katiba mpya 😊What are the criteria kupima ulazima wa mkusanyiko ?
Huyo mkuu wa mkoa Kuna watu kawalenga ishu sio korona,(Msigwa na cdm on target)Mara Kagera mara Iringa.Bora iwe nchi nzima ili kukabiliana na janga hili la corona.Waziri wa afya usichukulie poa jambo hili. Wewe ndiwe mwenye dhamana na wizara ya afya.Pigeni marufuku mikusanyiko isiyo na ulazima nchi nzima.
Mbona mauzauza yanazidi!Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga amesitisha kwa muda shughuli zote zisizo za lazima zinazohusisha mikusanyiko pamoja na makongamano yasiyo ya lazima, ikiwa ni moja ya jtihada za mkoa huo katika kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.
Sendiga amesema wamefikia uamuzi huo baada ya kuona maambukizi ya virusi vya corona mkoani Iringa yanaendelea kuongezeka.
Amewataka Wananchi wa mkoa wa Iringa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya corona ikiwa ni pamoja na kunawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka, na kuvaa barakoa wawapo katika maeneo yenye watu wengi ikiwa ni pamoja na kwenye vyombo vya usafiri.
![]()
SafiNi Jambo Jema.