[emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh lolAcha tu.... Sikutaka kabisa mazoea nao
Kuna cha maana basi....mawivu tu ya kishamba shamba roho ingeacha mwili[emoji16][emoji16]Kheeeeeeh ilkuaje dea? Hebu nigawie huo ubuyu na mie.
Achana na hiyo sura...huwezi kujua kiarage vepee
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
mkuu hii ni jambo tunasitahili kukaa chini na kuliongelea kaa taifa, hii ni janga la taifa kweliAcha watu wa enjoy life bhana, ila hii ni ajari kazini. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehe... kipindi hicho ukiwa na vijisenti vya kununua visheti unakuwa kama Diamond...Itakuwa we ni lihandsome balaa[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
wivu wa kijanja unakuwaje?Kweli asee...mi mwenyewe almanusura niuliwe sitakuja kusahau[emoji22]
Nilipigwa mimbata, mangumi, mateke, mwisho kabisa nikatundikwa darini[emoji24][emoji24]
Sema yule bwege manina zake, japo now kakua sijui kama anaendeleza huo wivu wa kishamba
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
hakunaga jipya mkuu utelezi ni ule ule huyo dogo ni boya tuAchana na hiyo sura...huwezi kujua kiarage vepee
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Damu ya mtu ni nzito mkuu! Uuwe mtu katikati ya pori nzito mtu yeyote asigundue utajikuta umesharopoka tu! Hata ya Ben saa 8 haitapotea. Itakuja kugundulika tu hata miaka 100 ipiteYaaani nilichogundua there is no perfect murder. Sijui huwa inakuwaje unakamatwa tuu. Sasa ukiwaza ni kitu gani kilimfanya atume msg huwezi elewa.
Yaaani wote waliohusika na Ben saa nane wasiijue amani huko waliko Mungu ashughulike nao.Damu ya mtu ni nzito mkuu! Uuwe mtu katikati ya pori nzito mtu yeyote asigundue utajikuta umesharopoka tu! Hata ya Ben saa 8 haitapotea. Itakuja kugundulika tu hata miaka 100 ipite
Man, this is DEEP. Haya mambo yanaumiza sana, bless up. [emoji3516]Watu wanaongea hawajui tu aisee mimi nime experience hii kitu pole sana muuaji najua how it feel ukitendwa na mtu unayemuamini yaani first lover,
Ila alifika mbali ushauri kw vijana wenzangu sometimes kubali matokeo jiangalie unataka kufika wp wangapi wanakutegemea afu songa mbele Kuna maisha baada ya mapenzi.
Ukiona unashindana na manzi temana naye au mtoe kwenye wife material awe papuchi matumizi
Over..... Mwenye macho na asikie.
Wazo la kuua tu linaonesha umtupu.Ukiua unatakiwa kuwa na akili mingi, sio unatuma tuma vimeseji vya kishamba. Watakunasa.
Yaani noma sana. Mbususu tamu lkn ni shubiriSo sad, daaah mapenzi haya lol.
SupAli sup au disco kabisa? [emoji23][emoji23][emoji23] mweeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolYaani noma sana. Mbususu tamu lkn ni shubiri
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Hili mbona sio la ajabu hata, limesha zoeleka.Enyi wazazi wanaosomesha watoto vyuoni kuwa macho.Kuna wanafunzi wanaoana na kuacha masomo lakini wanaendelea kudai ada kwa wazazi.Jirani yangu Kuna mmojawapo amepangiwa chumba na amejifungua lakini wazazi wake hawajui