Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Dogo anamiaka 21 mpaka upelelez ukamilike atakua na miaka 27 jumlisha 30 itakua 57 sio mbaya sana
 
Kweli asee...mi mwenyewe almanusura niuliwe sitakuja kusahau[emoji22]

Nilipigwa mimbata, mangumi, mateke, mwisho kabisa nikatundikwa darini[emoji24][emoji24]

Sema yule bwege manina zake, japo now kakua sijui kama anaendeleza huo wivu wa kishamba

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
wivu wa kijanja unakuwaje?
 
Yaaani nilichogundua there is no perfect murder. Sijui huwa inakuwaje unakamatwa tuu. Sasa ukiwaza ni kitu gani kilimfanya atume msg huwezi elewa.
Damu ya mtu ni nzito mkuu! Uuwe mtu katikati ya pori nzito mtu yeyote asigundue utajikuta umesharopoka tu! Hata ya Ben saa 8 haitapotea. Itakuja kugundulika tu hata miaka 100 ipite
 
Damu ya mtu ni nzito mkuu! Uuwe mtu katikati ya pori nzito mtu yeyote asigundue utajikuta umesharopoka tu! Hata ya Ben saa 8 haitapotea. Itakuja kugundulika tu hata miaka 100 ipite
Yaaani wote waliohusika na Ben saa nane wasiijue amani huko waliko Mungu ashughulike nao.
 
Watu wanaongea hawajui tu aisee mimi nime experience hii kitu pole sana muuaji najua how it feel ukitendwa na mtu unayemuamini yaani first lover,

Ila alifika mbali ushauri kw vijana wenzangu sometimes kubali matokeo jiangalie unataka kufika wp wangapi wanakutegemea afu songa mbele Kuna maisha baada ya mapenzi.

Ukiona unashindana na manzi temana naye au mtoe kwenye wife material awe papuchi matumizi

Over..... Mwenye macho na asikie.
Man, this is DEEP. Haya mambo yanaumiza sana, bless up. [emoji3516]
 
Sex education na emotions intelligence ni SoMo kubwa sana ambalo linasahaulika Sana na ndo kila kitu kwenye maisha. Remember we do decisions not how we think but how we feel
 
yaani dogo nafikiria atakavyokwenda kuwa kitoweo cha manyampara......kisa dyudyu......atafir****a huyo mpaka aanze blid...shenzi sana.....WAZAZI TUWE TUNAONGEA NA HAWA VIJANA WETU...tutawaokoa hakika...MUNGU tusaidie...
 
Enyi wazazi wanaosomesha watoto vyuoni kuwa macho.Kuna wanafunzi wanaoana na kuacha masomo lakini wanaendelea kudai ada kwa wazazi.Jirani yangu Kuna mmojawapo amepangiwa chumba na amejifungua lakini wazazi wake hawajui
 
Hili mbona sio la ajabu hata, limesha zoeleka.
 
Back
Top Bottom