Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Wanafunzi wengi wanaona ndo muda na mali kuendekeza mapenzi wakiwa chuoni, mwisho wake kuishia kuuana.
Nwei watajuana wenyewe bhana lol
 
Watu wanaongea hawajui tu aisee mimi nime experience hii kitu pole sana muuaji najua how it feel ukitendwa na mtu unayemuamini yaani first lover,

Ila alifika mbali ushauri kw vijana wenzangu sometimes kubali matokeo jiangalie unataka kufika wp wangapi wanakutegemea afu songa mbele Kuna maisha baada ya mapenzi.

Ukiona unashindana na manzi temana naye au mtoe kwenye wife material awe papuchi matumizi

Over..... Mwenye macho na asikie.
 
Mitoto ya mikoani inasoma kuanzia la kwanza hadi form six bila kuonja papuchi. Papuchi wanazikutia chuo, ndio madhara yake haya.
Sisi hukuTemeke Mikoroshini mapenzi tumeanzia darasa la pili. Papuchi zote tunazifahamu!
Dah, umenikumbusha mbali sana. Wakati niko primary siku moja nimeitwa na mwalimu wa discipline, kufika nakutana na kesi; kuna vibinti viwili vimepigana kisa vinagombania 😳😳😳. Nikabaki nashangaa maana nilikuwa sina hata interest nao. Teacher kageuza kibao, ugomvi wao ni kosa langu! Kulikuwa na walimu kama 6 mle ofisini, nilikula bakora balaa.

Mpaka leo nina alama mguuni ya kile kipigo cha ugomvi nisiojua umetokea wapi 😂😂😂. Kushitaki home nilishindwa maana ingekuwa noma zaidi. Anyways, uswahilini mapenzi vitoto vinaanza vidogo, darasa la 4 vibinti vinalamba koni kuliko mama zao.
 
-->>Naye anyongwe tu, kwa njia ya taratibu huku akichapwa bakora,mpaka afe, itawaogopesha wapuuzi wengine wenye wivu wa kijinga.
Hakuna atakayeogopa. Hiyo adhabu so ipo miaka yote? Mbona mauwaji yanatoka. Utasema ni kwa sababu adhabu hazitekelezwi lakini hata zinakotekelezwa watu wanauwana tu
 
Yaaani nilichogundua there is no perfect murder. Sijui huwa inakuwaje unakamatwa tuu. Sasa ukiwaza ni kitu gani kilimfanya atume msg huwezi elewa.
Mkuu km ulikuwa hujui Basi kuanzia leo fahamu kuwa ukiua damu ya Marehemu inalia hadi Mbinguni kukunung'unikia kuwa Kwanini umemuua?,amekukosea nini?, Hivyo lazima uwehuke,utajikuta unadakwa kijinga sana.
 
Wahehe bwana sijuhi walimkosea nini Mungu..!!kuna jamaa alijiua pale UDSM baada ya kufeli kozi.

Inabidi tufanye ibada ya kitaifa kuwaombea wahehe ,pepo la kuua na kujiua liwatoke😂😂
 
Wengine wasipoendekeza mapenzi, wanaambiwa hawajakamilika, acha yawakute na vilanga vyao komo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…