cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ndo mambo wanayojua wanachuo, kujichetua na kujikwatua lol.Pumzika kwa amani View attachment 1807326
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mambo wanayojua wanachuo, kujichetua na kujikwatua lol.Pumzika kwa amani View attachment 1807326
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakujua hata kuzima?!
Chuo kikuu hilo hakulijua?! Au ndo sumbawanga line washafanya yao?!
Hilo lawezekana kutokea siku moja?Tuache zinaa na uasherati. Unataka mapenzi, basi oa au olewa.
Usaliti unaumiza sanaMapenzi kwenye umri mdogo huwa ni hatari sana,hasa kunapotokea kusalitiana...
Hahahah mapenzi ya kwanza yanauma sana first heartbreak is fatalPapuchi za kumwaga hizi uangaike kunyonga ili iweje anaenda jela kwa ujinga wake hakuna maisha tena hapo...
Dah, umenikumbusha mbali sana. Wakati niko primary siku moja nimeitwa na mwalimu wa discipline, kufika nakutana na kesi; kuna vibinti viwili vimepigana kisa vinagombania 😳😳😳. Nikabaki nashangaa maana nilikuwa sina hata interest nao. Teacher kageuza kibao, ugomvi wao ni kosa langu! Kulikuwa na walimu kama 6 mle ofisini, nilikula bakora balaa.Mitoto ya mikoani inasoma kuanzia la kwanza hadi form six bila kuonja papuchi. Papuchi wanazikutia chuo, ndio madhara yake haya.
Sisi hukuTemeke Mikoroshini mapenzi tumeanzia darasa la pili. Papuchi zote tunazifahamu!
Wewe ulimaliza chuo?[emoji38][emoji38]
Hakuna atakayeogopa. Hiyo adhabu so ipo miaka yote? Mbona mauwaji yanatoka. Utasema ni kwa sababu adhabu hazitekelezwi lakini hata zinakotekelezwa watu wanauwana tu-->>Naye anyongwe tu, kwa njia ya taratibu huku akichapwa bakora,mpaka afe, itawaogopesha wapuuzi wengine wenye wivu wa kijinga.
Km watamhukumu miaka 30 Basi itabidi atoke humo akiwa na miaka zaidi ya 52.Nampa pole sana..wenzie wanaenda jela wakiwa na miaka 30+ au 40+ yeye ndo kwanza ana 22
Mbususu tamu Mkuu,kujizuia ngumu Sana.Badala ya kuendekeza masomo na ajira zenyewe za tabu wanakumbatia MAPENZI....
Imekula kwake huko JELA....
RIP msichana mrembo!
Mkuu km ulikuwa hujui Basi kuanzia leo fahamu kuwa ukiua damu ya Marehemu inalia hadi Mbinguni kukunung'unikia kuwa Kwanini umemuua?,amekukosea nini?, Hivyo lazima uwehuke,utajikuta unadakwa kijinga sana.Yaaani nilichogundua there is no perfect murder. Sijui huwa inakuwaje unakamatwa tuu. Sasa ukiwaza ni kitu gani kilimfanya atume msg huwezi elewa.
Muuaji,kushotoNdo mambo wanayojua wanachuo, kujichetua na kujikwatua lol.
Ni ukichaa tuMapenzi kwenye umri mdogo huwa ni hatari sana,hasa kunapotokea kusalitiana...
Mkuu kwani umeona gari zima? Kama trailler ni Double diff je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Wengine wasipoendekeza mapenzi, wanaambiwa hawajakamilika, acha yawakute na vilanga vyao komo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanaongea hawajui tu aisee mimi nime experience hii kitu pole sana muuaji najua how it feel ukitendwa na mtu unayemuamini yaani first lover,
Ila alifika mbali ushauri kw vijana wenzangu sometimes kubali matokeo jiangalie unataka kufika wp wangapi wanakutegemea afu songa mbele Kuna maisha baada ya mapenzi.
Ukiona unashindana na manzi temana naye au mtoe kwenye wife material awe papuchi matumizi
Over..... Mwenye macho na asikie.