Ila ni sahihi kuchochea vurugu na kusababisha mauaji?
Waandishi wa habari mwaweza shitaki polisi amnesty inc kwa kukiuka haki ya mwandishi ya kulindwa kwenye armed conflict.
Risasi haiwezi kusambaratisha mwili kwa kiasi kile,kuna mpuuzi hapa JF last week aliomba msaada wa kutengeneza bomu la petrol anaweza kuisaidia police.Lengo la kumuua mwandishi ni kupandikiza chuki.
Mbona wamekutoa Mirembe wakati bado hujapona sawasawa? Rudi haraka ukatibiwe!
Hiyo picha wanayosema ni mwili ama mabaki ya mwili?inasikitisha sitaki hata kui zoom out.
.Hii ni moja ya MALENGO YA MAUAJI MLIYOPANGA, CCM HAMNA HOJA MNATAFUTA AGENDA KWA KUFANYA MAUAJI.
CCM watajuta 2015 kwani hatuta kuwa radhi kutumia ballot box, Tayari tutaandaa vijana wetu wataokwendwa JKT after 4m6 na ndipo hapo serkali hii dhalimu itakuwa imefika mwisho.
Mungu hana time ya kumtetea wala kumlipa mpumbavu.Yani mimtu inaambiwa isubili mpaka tar 8 yenyewe inatumia nguvu,sasa leo haina dola inaleta vita sasa ikipata dola sii nchi haitakalika?RIP Kamanda Daudi Mwangosi, Hakika Mungu atawalipa wadhalimu hawa hapahapa duniani kwa udhalimu wao. Tena si Muda mrefu.