TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Ila ni sahihi kuchochea vurugu na kusababisha mauaji?

Naogopa tu kufungiwa kama sivyo ningekutukana tusi ambalo usingelisahau mpaka siku unakwenda kaburini!!! Ila kuna ukweli kwamba unafikiria kwa kutumia masaburi!!!

Tiba
 
hakyanani WAUAJI CCM sasa wameamua kazi, watanzania mbona bado tunawasikilizia tu, hivi SISI HATUNA TAHRIRI SQUARE KAMA WENZETU MISRI???????? Tuandamaneni jamani, hawa ccm WAUAJI wameshaamua kuendesha nchi kwa kuchinja watu.



Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Waandishi wa habari mwaweza shitaki polisi amnesty inc kwa kukiuka haki ya mwandishi ya kulindwa kwenye armed conflict.

Nani alikuwa armed? Kulikuwa na kurushiana risasi kati ya polisi na wananchi? Be serious tafadhali.
 
Naililia nchi yangu tanzania, siamini ninachokisikia kwa nchi ambayo inajitangaza kama kisiwa cha amani tumeona CCM wakiendelea na chaguzi zao ndani ya zoezi la sensa bila bugudha na wengine kutishiana Bastora why CDM wanafanyiwa hivyo? sasa wameua mtu muhimu katika tasnia ya habari tunaelekea wapi nchi hii jamani! R.I.P Daudi Mwangosi damu yako haitamwagika hivi hivi lazima ilipwe na mungu
 
Risasi haiwezi kusambaratisha mwili kwa kiasi kile,kuna mpuuzi hapa JF last week aliomba msaada wa kutengeneza bomu la petrol anaweza kuisaidia police.Lengo la kumuua mwandishi ni kupandikiza chuki.

kwa hiyo akili yako ilisubiri kwanza yatokee ndo utapike huo utumbo wako??



Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Enough is enough, sasa Chadema ichukue hatua stahiki, wasiipotezee hii ishu wakomae na Igp ajiuzulu vinginevyo watu wataendelea kuuliwa.
 
Aisee..Habari hizi za vifo zinanipa huzuni sana, nadhani polisi wawe waelewa jamani, watu walikuwa kwenye uzinduzi wa tawi la chama, mabomu ya nini? Morogoro walisema CHADEMA waliandamana bila ruhusa, sasa hii ya Iringa itakuwa sababu gani?
 
safi sana naona ukombozi umekaribiaaaa??
 
Siaminikinachoendelea kwenye vituo vya TV. Zaidi ya habari vague zilizotolewa na channel 10 hakuna kituo kingine kilichodiriki kurusha tukio la vurugu za Nyololo zilizopelekea mwandishi mwenzao kuuawa. Hivi hawa waandishi hawajui kuwa kesho ni wao? Shame on you all!
 
Hiyo picha wanayosema ni mwili ama mabaki ya mwili?inasikitisha sitaki hata kui zoom out.

Mwili%2Bwa%2B%2BDaudi%2BMwangosi%2Bukiwa%2Bumechanika%2B%2Bvibaya.JPG
 
RIP Kamanda Daudi Mwangosi, Hakika Mungu atawalipa wadhalimu hawa hapahapa duniani kwa udhalimu wao. Tena si Muda mrefu.
 
CCM watajuta 2015 kwani hatuta kuwa radhi kutumia ballot box, Tayari tutaandaa vijana wetu wataokwendwa JKT after 4m6 na ndipo hapo serkali hii dhalimu itakuwa imefika mwisho.

mkuu mie nadhani bado hatuja fika huko. kama ni kuitoa ccm madarakani basi tutumie sanduku la kura kwa amani na raisi mtarajiwa awe wa cuf,tlp, cdm au chama chochote basi wakabidhiane ikulu huku wakinywa chai pamoja.....hii ni nchi yetu sote
 
RIP Kamanda Daudi Mwangosi, Hakika Mungu atawalipa wadhalimu hawa hapahapa duniani kwa udhalimu wao. Tena si Muda mrefu.
Mungu hana time ya kumtetea wala kumlipa mpumbavu.Yani mimtu inaambiwa isubili mpaka tar 8 yenyewe inatumia nguvu,sasa leo haina dola inaleta vita sasa ikipata dola sii nchi haitakalika?
 
CCM wameamua kuua watu ili wawatishe wasihudhurie mikutano ya chadema, aibu yao wenyewe!! RIP Mwangosi
 
Vituo vya tv vinakua kama vimefungwa na serikali hii habari haijaonyeshwa kwenye taarifa ya habari yoyote ni aibu kubwd sana kuwa na vyombo vya habari kama hivi
 
Back
Top Bottom