Kisaikolojia CHADEMA HAWALIAMINI JESHI LA POLISI NA WANAAMINI KUA LINAKANDAMIZA DEMOKRASIA,,,,POLISI NAO(NADHAN TANGU WAPO DEPO-CCP) NAO WAMESHAFUNDISHWA KUWA CHADEMA NI CJAMA CHA VURUGU,sasa hawa jamaa wanapokutana lazima vurugu zitokeee,,,,kila mtu hamuamini na hampendi mwenzie,,,,mfano kupigwa kwa wale wabunge wa mwanza polisi si walikua wakiangalia tu,na vurugu za wafuasi wa ccm Singida polisi si walikua wakiangalia tuu,na ndo hivi itakavokua siku zijazo,,,,mnakumbuka kova alisemaje????
Mie siandiki kitu leo. Ila ninachukua mda kumtafakari yule ***** aliyesema ana degree ya sheria.
.
Siaminikinachoendelea kwenye vituo vya TV. Zaidi ya habari vague zilizotolewa na channel 10 hakuna kituo kingine kilichodiriki kurusha tukio la vurugu za Nyololo zilizopelekea mwandishi mwenzao kuuawa. Hivi hawa waandishi hawajui kuwa kesho ni wao? Shame on you all!
Kweli policcm ina fanya kazi yake!
Hawa polisi lakini si tuna kaa nao huku mtaani?!kwa nini tusi anze piga hawa mapimbi!aaaaah
Mungu hana time ya kumtetea wala kumlipa mpumbavu.Yani mimtu inaambiwa isubili mpaka tar 8 yenyewe inatumia nguvu,sasa leo haina dola inaleta vita sasa ikipata dola sii nchi haitakalika?
We ndio bwimbwi kweli,unanitishia kutukana? wakati kama kungekuwa na mashindano ya dunia nchi yangu ningeipatia medali ya dhahabu kila mwaka.Ninakuruhusu tukana nione pumzi yako.Naogopa tu kufungiwa kama sivyo ningekutukana tusi ambalo usingelisahau mpaka siku unakwenda kaburini!!! Ila kuna ukweli kwamba unafikiria kwa kutumia masaburi!!!
Tiba