Mtu anaeambiwa usifanye maandamano bado kakaa anakusanya watu unasema huyo hata hatia?
Morogoro alipigwa nondo na polisi?
Na huyu wa Iringa alifungwa bomu na kujitoa Mhanga na Polisi?
Na Josephine alivyojitia tomato sauce kujidai kapigwa na polisi arusha, alipakwa na polisi?
Nyie mnawadanganya hao hao wajinga wenzenu.
Viongozi wenu walishasema hii nchi "haitotawalika", sasa naona mmeanza kuleta mbinu za kuuwa na kusingizia Polisi.
Tumegundua ujanja wenu, na nyie mnaofata bila kuijiuliza, nawashangaa sana. Hivi hamjiulizi kwanini chadema tu wanapokusanyika wafe watu?
We ndio bwimbwi kweli,unanitishia kutukana? wakati kama kungekuwa na mashindano ya dunia nchi yangu ningeipatia medali ya dhahabu kila mwaka.Ninakuruhusu tukana nione pumzi yako.
Tafadhali sana zomba hebu nenda taratibu usianze kunitukana kwa kutetea kwako ccm! Unadhani mie ninafurahia unayoyaandika? Mbona sijakutukana? Hata mie naweza sana kutukana lakini sioni sababu ya kutukana kwenye masuala ya msingi kama haya! Hata ugeuze maneno kwa namna gani ukweli utabaki kuwa ukweli! Vyombo vya dola vinatumika kuua raia wasio na makosa kwa kutetea maslahi ya wanasiasa waliopo madarakani! Hatutanyamaza katika kulipinga hilo!
Huwezi ukawa na nchi kila siku watu wanaandamana!Tafadhali sana zomba hebu nenda taratibu usianze kunitukana kwa kutetea kwako ccm! Unadhani mie ninafurahia unayoyaandika? Mbona sijakutukana? Hata mie naweza sana kutukana lakini sioni sababu ya kutukana kwenye masuala ya msingi kama haya! Hata ugeuze maneno kwa namna gani ukweli utabaki kuwa ukweli! Vyombo vya dola vinatumika kuua raia wasio na makosa kwa kutetea maslahi ya wanasiasa waliopo madarakani! Hatutanyamaza katika kulipinga hilo!
sijamaanisha hivyo! unajua in the real sense yeye daudi alikua mwana habari n wanahabari wanalindwa hata vitani so angekua na kitu ch kumuidentify kama yupo kazini na uwepo wake ukawa officially nahisi isingefikia pale ilipofikia!
Huwezi ukawa na nchi kila siku watu wanaandamana!
Sasa maandamano ndiyo utatuzi wa hayo!Na huwezi ukawa na nchi kila siku watu wanaiba tu na kuua tu"
Hallow,
Nami nimesikitishwa sana na taarifa za msiba wa mwandishi maarufu wa Channel Ten Ndg yangu na rafiki yandu Daudi Mwangosi ambaye nilikuwa naye mpaka alfajiri ya jana akionekana ni mtu mwenye furaha sana.
Najaribu kutafakari haki itatendekaje katika kuchunguza chanzo cha kifo cha mwanahabari huyu. nasema hivi kwasababu ni jeshi la Polisi linatuhumiwa kuwa limetumia nguvu kuzidi kiasi hadi kupelekea kifo cha mwanahabari huyo na jeshi hilohilo ndo linafanya uchunguzu wa kifo hicho. Hivi unatarajia kutoa taarifa ambazo hazia mlengo mmoja?
Nafikiri kulikuwa na umuhimu wa kuwepo na chombo huru cha kufanya utafiti huu ili haki iweze kutendeka
Mkuu, Hivi unaweza kutoa sababu kwanini wananchi wapewe amri ya kutakiwa watawanyike kama hawajavunja sheria? Kwani nchi sasa imekuwa inaongozwa kijeshi? Is there a marshall law now in Tanzania?Sasa kama waliambiwa watawanyike wao wakakaidi ni vipi tuwalaumu police?
huwezi ukawa na nchi kila siku watu wanaandamana!
Ujinga sio matusi, ni sifa. Halafu neda post yako namba 773 uone hilo neno kalianzisha nani?
Useme wewe nikikujibu useme nakutukana? au una sifa ya kusahau?
Huwezi ukawa na nchi kila siku watu wanaandamana!
Amefariki dunia Daudi Mwangosi RIP my friend my brother Daudi
Marehemu ameuawa na Bomu dogo linalotumika kuvunjia vizuizi kama makofuli, milango ama kitu kinachofanana na hivyo. MABOMU HAYO HUWA NAYO MAPOLISI NA HUYATUMIA KAMA MHALIFU AMEJIFICHA AMA KUJIFUNGIA SEHEMU AMBATO KATIKA HALI YA KAWAIDA NI VIGUMU KUVUNJA KWA NYUNDO AMA CHUMA hivyo polisi wakati wanaenda eneo hilo walikuwa wamejihami na mabomu hayo.Samahani kama sikuelewa, habari ni kuwa amepigwa risasi au ameuawa kwa kupigwa risasi? Tuache utani, yote si mema, lakini tafadhali tusiandike maneno mazito kama hayo wakati hatujapata taarifa zaidi za hali yake. Sina neno lolote mkuu Royals, ila naomba kabla hatujajua kilichotokea kwa dhati tusikimbilie kuandika R.I.P! Mkuu marejesho ameuliza Vipi hali yake? Naomba mwenye habari zaidi atupatie.