TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Jaman angalie aljazeera sasahv,tanzania ndo 2mefka uko?vry sad.!
 
Nimekuwa nikifuatilia matukio ya mauaji yanayofanywa na poilisi kwa raia wasio na hatia huku wakifanya mzaha kwa taarifa wanazotoa kwa wananchi kuhusiana na vifo hivyo. Yakihusishwa na maandamano na mikutano ya vyama vya siasa, hususan CDM, mtazamo wangu kwa mauaji haya nikwamba polisi hawa bila kujua matokeo ya hayo wanayoyafanya wanachonga sura ya nyoyo za wananchi wapenda mabadiliko katika maumbo ya mishale ya chuki kwa serikali ya CCM ambayo yakifikia kuwa na makali ya kutosha yataleta maafa ambayo yatakuwa nje ya uwezo wao kuyadhibiti. Natoa tahadhali kwa jeshi la :israel😛olisi kuwa wasiporekebisha hali hii watashangaa mishale itakapowageukia kabla mahakama za ICC hazijaingilia kati na kuwakamata hao wanaotoa maagizo ya mauaji wakati huu. By beating the iron (Wananchi) they are forging the swords (mapinduzi ya nguvu ya umma)! Wewe unasemaje kwa hili.
 
Jaman angalie aljazeera sasahv,tanzania ndo....
Yani it takes Aljazeera ku cover mambo ya Tanzania while hawa vimeo wetu wa press wako hewani wanasema hawawezi kuongelea sana swala la mwenzao kuuawa kwa sababu bado hawana taarifa kamili (wakina Zembwela wa East Africa Radio ndio talking points zao leo), sasa unabaki unajiuliza wanataka nani awape taarifa, polisi yenyewe? Iingekuwa press ya ma Ulaya huko sasa hivi wangekuwa wako ndani ndani Iringa huko wanahoji raia na kuunganisha vipande vya taarifa na kukusanya evidence, yani kuwapa pressure ma prosecutor, lakini wapi, such pathetic profession, gazeti moja limefungiwa baada ya kutaja jina na excruciating details of kidnap and torture under state sponsorship, ungedhani waandishi wangezua tafrani, badala yake kesho kutwa yake Wahariri wao wakaitwa na Rais Kikwete Ikulu wakapewa apple juice zime expire kwenye maboxi kutoka Egypt, wakapewa ki weak speech kuhusu sijui nini, some Kilimo Kwanza claptrap kama sikosei, wakanywa juice wakatulizwa!

Hatuna competent press in Tanzania.

 
Kazi ipo. Mpaka ikifika 2015 tutaona mengi sana.

Tuwe na subra.
 
Imeniuma na imeniliza sana, inajenga picha gani kwa watoto wa mwangosi kuona baba yao kauliwa kama mbwa aliekanyagwa na fuso barabarani
 
Hawa policcm wataisaidia hiyo ccm yao mpaka lini.? Yaani ccm ni bora kuliko watz wengi ambao hawaitaki hata kuisikia?
 
kama police hawataacha kutumia nguvu na kuua wananchi,kwanini nasisi tusianzishe oparation ua makamanda wa mapolice? Tunajua mahali pa kuwapata bar na nyumba ndogo. Au na familia zao baba/mama, mke/mme na watoto wao ambao hawana ulinzi wa bunduki. Eye for eye
nawasilisha kwa majadiriano

naunga mkono mia kwa mia
 
Ploleni sana wana habari wote. Mungu atawapandisha siku ya hukumu. Mmekuwa mkitumika sana kuwaingiza madarakani watawala wetu lakini kumbe mwisho wa yote mnauawa........ Da! Mungu wa Israel, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Ibrahim na Mungu wa Isaka tuokoe na uovu huu.
 
ki- with James D Jahazi and Gard Eliakim.

kweli siku za mwisho zimefika yaani watanzania tunauana kama wanyawa,,, jamani hawa police where are they taking us,,, this nonsense government,, with confused leaders,, is veery STUPID,, FAKEEN
 
Baada ya kusoma maelezo ya Mkuu Kiganyi, napata picha ya hali halisi ya tukio. Kunahitajika tafakari ya kina kabla ya kuandika kwa ushabiki. I' ll come later.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Vurugu tena [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Monday, 03 September 2012 08:09 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

000000000000001askari.jpg
Askari wa polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia(FFU) wakimsubiri mtu anayedaiwa kuwa ni mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten Iringa, Daud Mwangosi katika vurugu zilizotokea jana kati ya polisi na wafuasi wa Chadema kwenye kijiji cha Nyololo, Mufindi. Katika vurugu hizo mwandishi huyo aliuawa kwa kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu.Picha na Mpigapicha wetu

POLISI WATUMIA NGUVU DHIDI YA CHADEMA, WADAIWA KUUA MWANDISHI WA HABARI
Clement Sanga, Mufindi
VURUGU kubwa zimezuka katika eneo la Nyororo wilayani Mufindi kati ya polisi na wafuasi wa Chadema, baada ya askari hao kusambaratisha mkutano wa chama hicho na kusababisha kifo cha mwandishi wa habari na watu kadhaa kujeruhiwa.Mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Daud Mwangosi anadaiwa kuuawa kwa bomu lililorushwa na polisi katika vurugu hizo.
Awali, inadaiwa kuwa mwandishi huyo alishambuliwa kwa marungu na Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kabla ya bomu hilo kumjeruhi vibaya tumboni na kusababisha kifo chake.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio, alisema wakati mwandishi huyo akishambuliwa na polisi, mmoja wa askari wa jeshi hilo aliwazuia wenzake kuendelea kumpiga akiwaeleza kuwa anamfahamu kuwa ni mwandishi wa habari, huku akimkumbatia.
Shuhuda huyo alidai kwamba jitihada za askari huyo hazikusaidia, kwani baada ya kutupwa kwa bomu hilo lililosababisha utumbo wa mwandishi huyo kutoka nje, polisi huyo naye alijeruhiwa mguu.
Hata hivyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso alikana polisi kumuua mwandishi huyo akidai kwamba kilichosababisha kifo chake ni kitu kilichorushwa na wananchi ambapo alisema polisi inakichunguza.
"Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wa wananchi kuelekea walipokuwa polisi. Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia askari akiwamo Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS)." Hata hivyo, hakumtaja OCS huyo.
Vurugu hizo ziliibuka baada ya polisi kufika Nyororo na kuwataka viongozi wa Chadema pamoja na wafuasi wao kutawanyika kwa kuwa walikuwa hawaruhusiwi kufanya mkusanyiko wowote kutokana na amri iliyotolewa na jeshi hilo awali.
Polisi mkoani Iringa jana asubuhi walilipiga marufuku kufanyika kwa maandamano na mikutano yote ya halaiki ya kisiasa mpaka hapo Sensa ya Watu na Makazi itakapokamilika baada ya kuongezwa wiki zaidi.
Hata hivyo, pamoja na amri hiyo Chadema kilifanya mkutano wilayani Mufindi kitendo ambacho polisi walisema ni kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda alisema ambaye alikuwa akiongoza askari wake kuwatawanya wafuasi wa Chadema katika eneo hilo, alisema kazi yao ilikuwa ni kutekeleza amri akisema wao si wanasiasa.
"Nataka watu wote mtawanyike," alisema Kamanda Kamuhanda.
Hata hivyo, viongozi wa Chadema walikaidi amri hiyo wakisema kuwa walikuwa wanaendelea na mikutano yao ya ndani siyo ya hadhara, kauli ambayo polisi walikataa.
Kabla ya polisi kutaka kuwakamata viongozi hao, wananchi waliwazuia kufanya hivyo na hapo ndipo vurugu zilipoanza na mabomu ya machozi kupigwa kitu na kila mtu kutawanyika.
Katika vurugu hizo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Hamad Yusuf alikamatwa na mtu mwingine ambaye jina lake bado halijafahamika.

Jukwaa la Wahariri latoa tamko
Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Nevile Meena amesema jukwaa linalaani kitendo cha polisi kuua mwandishi kwa sababu za kisiasa.
"Tunalaani sana kitendo kilichofanywa na polisi kuua mwanahabari kwa sababu za kisiasa."

Awali
Jana asubuhi, Chadema kilikuwa ifanye maandamano na mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa, Iringa ikiwa ni sehemu ya kampeni yake ya Vuguvugu la Mabadiliko(M4C).
Hata hivyo, muda mfupi kabla ya kuanza maandamano hayo, Kamanda Kamuhanda aliwaambia waandishi wa habari kuwa kutokana na kuongezwa kwa siku za Sensa ya Watu na Makazi, jeshi hilo limepiga marufuku kufanyika maandamano na mikutano yote ya kisiasa kwa vyama vyote nchini, ili kuepusha mwingiliano.
"Polisi inasimamisha shughuli zote za maandamano na mikutano ya halaiki ya kisiasa nchini, hivyo hakuna mkutano wala maandamano yoyote yanayotakiwa kuwapo wakati wa zoezi hili na ndiyo maana nimewaita niweze kutoa taarifa ya kusitishwa kwa mikutano yote," alisema Kamuhanda na kuongeza:
"Kwa msingi huo sasa lazima niseme kuwa Polisi katika hili haihitaji mjadala wowote ule, inahitaji wahusika watii agizo hili bila shuruti ili kuepusha msuguano usiokuwa wa lazima ambao utasababisha matumizi ya nguvu kutumika."
"Endapo Chadema watakaidi agizo hili, Polisi italazimika kutumia uwezo wake kuhakikisha ya kuwa amri hii inafuatwa tena bila shuruti. Tupo tayari na tumejiandaa kikamilifu kuhakikisha amri hii inatimizwa kwa namna yoyote ile kwa hiyo ni vyema Chadema wakaliona hili."
Baada ya kauli hiyo ya Polisi, Kamanda wa Operesheni Sangara inayoendesha M4C, Benson Kigaila alieleza kushangazwa kwake na jinsi Polisi kuingilia kati shughuli zao za kisiasa.
"Morogoro, Polisi walituzuia mikutano yetu kwa madai ya Sensa na baadaye wakasema maandamano na mikutano yetu mkoani humo yasifanyike kwa kisingizio kwamba barabara ni finyu."
"Tulipofika Iringa tulipaswa kufanya mikutano yetu tarehe 28, lakini IGP alitupigia simu kutuomba kutofanya mikutano yetu na kimsingi tulikubana naye kuonyesha uzalendo kusitisha mikutano yetu mpaka Sensa itakapokamilika, lakini sasa baada ya hapo tena leo wametuzuia kuendelea na shughuli zetu."
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
hao Police washindwe na walegee damu wanayoimwaga kwa waTanzania wasio na hatia haitapotea bure. Najiuliza hivi wakitumia farasi, mabomu ya machozi maji ya kuwasha hayatoshi au watumie risasi na gruneti????? na kweli kuna haja yakutumia hata hayo maji ya kuwasha kwa watu wasiofanya fujo? au kufungua matawi ya chama pinzani ni kufanya fujo????? kwa hili wananchi hatuwaelewi na mnazidi kuleta uhasama baina ya raina na polisi kuna kipindi ambacho hatuombei itokee lakini unaweza kusikia kuwa wananchi wenye hasira wameuwa polisi kutoka na kuchoshwa kuuwawa ovyo
 
ki- with James D Jahazi and Gard Eliakim.

kweli siku za mwisho zimefika yaani watanzania tunauana kama wanyawa,,, jamani hawa police where are they taking us,,, this nonsense government,, with confused leaders,, is veery STUPID,, FAKEEN


Ndugu Watanzania na wana JF

Hii haikubaliki,haivumiliki na haitakiwi.

Hili tukio ni la kinyama zaidi ya maelezo ambayo mtu anaweza kuelezea. Unyama huu nafikiri ni zaidi ya kile walichokuwa wakiwafanyia Makaburu ndugu zetu wa Bondeni(SA) enzi hizo!!!

Tulipofikia sasa lazima Watanzania wachukue hatua moja zaidi. Hatuwezi kuvumilia kuona Watanzania na nduigu zetu wakiuliwa na Jeshi la Polisi eti tu kwasababu ya maandamano ya CHADEMA. Hatuwezi kuendelea na ushenzi huu.

Kwa ndugu zangu wa KIHEHE najua kabisa ni watu wasiopenda kuonewa kwa sababu za kijinga na kishenzi kama hizi za Polisi. Picha hii imenirejesha kwenye ENZI ZA MWAMWINDI. Bila shaka wanakumbuka kile Mwamwindi alichomfanya Mkuu wa Mkoa wa enzi za Mwalimu Dr.Kleruu. Baada ya kunyanyaswa na kuonewa na RC huyo kwenye shamba lake,Mwamwindi aliamua kuchukua shotgun yake na kumpiga risasi Dr. Kleruu na yeye mwenye akauchukua ule mwili na kuupeleka Polisi na kuwakabidhi huku akiwaambia:CHUKUENI MBWA WENU!

It's high time now,the Hehe people come out and wage a war against the Police force. They have to do as Mwamwindi did for Dr. Kleruu. They have to start with RPC Kamuhanda and then continues downwards to the last police officer who participated in the killing of their son,brother,friend,husband and father to his family!

No chance of blah blah and kidding! This must be a tit for tat business until the Police force come up to their senses!

This message shall be broadcasted to all including President Kiwete,IGP Mwema, Minister Nchimbi and the rest of those CCM hooligans!
 
Back
Top Bottom