TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Ulisikia fujo kwenye mikutano ya CCM?

Leo tukaneni mimi hamnipati nimepewa warning na Paw niwawache mtukane tu, maana nikiwajibu naambiwa mimi ndio nnawafanya mtukane.

This is "where we dare to talk openly"!
Mkuu umeshawahi kusikia ccm wanazuiwa kufanya chochote??? how do you expect any protest if you are given preferential treatment??

I know you are learned, but i can definitely say the you are not wise
 
inauma sana ndugu zangu. Mungu atalipa tu kama c hapahapa dunian hata mbinguni.
Kazi ya Mungu ipo na kazi ya mikono yetu ipo, tupange mikakati ya kuiondoa ccm before 2015 kisha tufanye kazi, linawezekana sana na Mungu atabariki kazi ya mikono yetu maana ni halali kabisa kuiondoa ccm kabla ya 2015.
 
Wakuu,

Nimelazimika kuandika kwa kifupi hoja hii kuwauliza wenzangu wana JF kuhusiana na mfumo wa utendaji kazi wa Jeshi letu la Polisi kutokana na kuhusishwa kushiriki kwenye vitendo vya kushambulia na kudhuru raia. Nikiangali mifano miwili ya Mwisho, ile ya Moro na ule wa Iringa, nashindwa kuelewa na kupata kigugumizi juu ya utata wa vifo vya hawa ndugu wasio na hatia, kama hizi tuhuma ni kweli, je jeshi letu lipo kwa maslahi ya nani hasa?
 
Rest in eternal piece brother. They are just Vampires,living on sucking the blood of the innocent.
 
Ndio maana huwa nasema siku zote siwezi ku reason na wewe zomba. Huenda wapo wanao kuelewa humu binafsi sijawahi kukuelewa. Uko tayari kuonekana kama punguani ili mradi uitetee CCM au vyombo vya dola hata kama vimefanya udhalimu wa wazi dhidi ya raia. Unasikitisha sana. Damu ya Daudi Mwangosi haitapotea bure. Itawalilia nyie na vizazi vyenu.

MwaJ, mimi siku zote napenda kusisitiza kutowajibu hawa jamaa kabisa maana unaweza kupata hasira ukijikuta umevunja computer yako ama keyboard yako mwenyewe. Peleka concentration yako kwenye mikakati, tumia muda mwingi kufikiri cha kufanya kisha tuletee maoni hapa jamvini. Najaribu kurudi tena hapa, huenda hivi vifo vimeamsha ari za wanajamii kufikiri upya mustakabali wa nchi hii na kuona kama tunaweza kufanya mabadiliko.
 
Ulisikia fujo kwenye mikutano ya CCM?

Leo tukaneni mimi hamnipati nimepewa warning na Paw niwawache mtukane tu, maana nikiwajibu naambiwa mimi ndio nnawafanya mtukane.

This is "where we dare to talk openly"!

Where we dare to talk openly, unapenda kutukanwa ndio maana, unashabikia vitu vya kijinga, why Chadema nimekuuliza swali hapo CCM wamewahi kuhitaji kufanya mikutano then wakaambiwa kwamba jeshi halina security wa kutosha, vitu vingine u have to think na sio kuropoka....Sasa CHADEMA huwa wanafanya fujo na wanamfanyia nani hizo fujo??Na huwa wanaharibu mali za watu???Jibu points na maswali unyoulizwa na sio unakimbilia kusema Paw amekupa onyo...
 
....!!??

Tuzidishe maombi na sala..
 
1. kwa maslahi ya matumbo yao,
2. kwa maslahi ya CCM
3. Kwa maslahi ya waliowatuma yaani viongozi wa Polisi (IGP,OCD na OCS)

****Kwa upande wetu wananchi wanatuua na wengine ni majambazi wanatuibia na wakati mwengine kutuua
 
Marehemu ameuawa na Bomu dogo linalotumika kuvunjia vizuizi kama makofuli, milango ama kitu kinachofanana na hivyo. MABOMU HAYO HUWA NAYO MAPOLISI NA HUYATUMIA KAMA MHALIFU AMEJIFICHA AMA KUJIFUNGIA SEHEMU AMBATO KATIKA HALI YA KAWAIDA NI VIGUMU KUVUNJA KWA NYUNDO AMA CHUMA hivyo polisi wakati wanaenda eneo hilo walikuwa wamejihami na mabomu hayo.

NA INASEMEKANA KUWA MAREHEMU ALIKUW ANA UGOMVI NA MAPOLISI WA ENEO HILO PAMOJA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAO WALILALAMIKA KUWA HUYO JAMAA ALIHUSIKA KATIKA KUKIPA CHADEMA UMAARUFU KWA KURIPOTI HABARI ZA CHADEMA NA KUACHA ZA CCM

hivyo kwa haraka haraka WALIOHUSIKA KUMUUA MAREHEMU NI POLISI KWA KUSHIRIKIANA NA CCM

Nashukuru sana mkuu kwa kunipa taarifa zaidi. Inaumiza sana kuona mtanzania asiye na hatia anauawa na vyombo vya dola ambavyo vinatakiwa kusimamia usalama wa raia. Nchi yetu tunayoipenda sana imekuwa nchi ya kijasusi, ya kimafia, isiyojali haki za binadamu.
Umefika wakati wa kusema 'Inatosha'. Watanzania zaidi ya milioni 45 hatuwezi kutishwa na viongozi wachache, hata kama wao pamoja na vikaragosi vyao na familia zao watakuwa wengi hawataweza kutushinda. Tuichukue nchi yetu kabla sote hatujateketea mikononi mwa hao wachache.
Hivi hawa watu wanaoleta shida wako wangapi? Sidhani kama wanafika hata nusu milioni. Hapo tunaunganisha mpaka maofisa wa ngazi za chini wa policcm na wengine wote wanaowapa vichwa!
RIP Mwangosi!
 
Watu wanachuma laana! ....nimekasirishwa sana na maneno ya shigela kwenye taarifa ya itv....eti anashauri uongozi wa CDM uachie ngazi ndiyo unauua watu!!!!this guy is abnormal,.......
 
Wadau mimi sina mengi ya kusema ila tu nikitafakari haya mauaji na ukatili huu unaoendelea dhidi ya raia najikuta nakumbuka historia ya aliyekuwa kiongozi wa ujerumani Adolf Hitler na kuanza kujiuliza kama hata hapa bongo amepatikana mtu kama yeye.

Hakuna hatua inayochukuliwa kwa wahusika kanakwamba wanayoyafanya yana baraka zote kutoka juu.

Kwakweli inauma sana na penginei kadri siku zinavyozidi kwenda tutapata jibu la swali hili.

Hivi huwa tuakwenda misikitini na makanisani kama fashion tu?

Wataficha ukweli wa mambo haya mpaka lini?

Tusuburi kwani ni vigumu sana kuficha ukweli.

Ni vigumu pia kuamini kama kweli haya matendo yanatokea hapa bongo.

Heri mzungu kuliko mkoloni mweusi.
 
Ndugu zangu wa CCM,tena safari hii nawaita ndugu zangu!

Lazima mjifunze kuachia madaraka.Muwe ni wenye haya,na mwisho mfahamu kabisa Sisi Watanzania/wazalendo (tusiokuanacho) kwamba wakati umefika ambapo Mungu amesikia kilio cha walio wengi na sasa anakwenda kututimizia maombi yetu. Mlituibia sana kwa mwika 50,mmetunyanyasa haikutosha leo mnatua kila kukicha.

Pamoja na yote hayo MPANGO WA MUNGU NI LAZIMA UTIMIE. Mmetumia nguvu ya dora kujihalalishia madaraka yenu,mmelewa madaraka,mmeteka demokrasia,hamtaki nafas ya kumsikiliza mtu mwingine iwepo ktk taifa,mmemiliki hadi uhai wetu,kwa kua mnauwezo wa kukatisha maisha ya mtu pale mnapotaka kwa kutumia Polis wenu, mkizani mtatunyamanzisha wanyonge.

Kaeni mkijua MPANGO WA MUNGU NI LAZIMA UTIMIE.hata mtuue kila siku,hata mtunyime uhuru wetu wa kidemokrasia,lakini MPANGO WA MUNGU LAZIMA UTIMIE.Mungu amesikia kilio cha wengi,kamwe hamtaweza kuzuia mpango wa Mungu.kaeni mkijua,hata kama si leo MPANGO WA MUNGU NI LAZIMA UTIMIE, NA UTATIMIA HATIMAYE TUTASHINDA DORA YA NCHI HII
 
Where we dare to talk openly, unapenda kutukanwa ndio maana, unashabikia vitu vya kijinga, why Chadema nimekuuliza swali hapo CCM wamewahi kuhitaji kufanya mikutano then wakaambiwa kwamba jeshi halina security wa kutosha, vitu vingine u have to think na sio kuropoka....Sasa CHADEMA huwa wanafanya fujo na wanamfanyia nani hizo fujo??Na huwa wanaharibu mali za watu???Jibu points na maswali unyoulizwa na sio unakimbilia kusema Paw amekupa onyo...

Ukija bila hamasa tutajibizana vizuri kabisa.

CCM hawana fujo, kwanini wazuiliwe? ulisikia CCM kuwa ni wapiganaji?
 
quote_icon.png
By raymg

Marehemu ameuawa na Bomu dogo linalotumika kuvunjia vizuizi kama makofuli, milango ama kitu kinachofanana na hivyo. MABOMU HAYO HUWA NAYO MAPOLISI NA HUYATUMIA KAMA MHALIFU AMEJIFICHA AMA KUJIFUNGIA SEHEMU AMBATO KATIKA HALI YA KAWAIDA NI VIGUMU KUVUNJA KWA NYUNDO AMA CHUMA hivyo polisi wakati wanaenda eneo hilo walikuwa wamejihami na mabomu hayo.

NA INASEMEKANA KUWA MAREHEMU ALIKUW ANA UGOMVI NA MAPOLISI WA ENEO HILO PAMOJA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAO WALILALAMIKA KUWA HUYO JAMAA ALIHUSIKA KATIKA KUKIPA CHADEMA UMAARUFU KWA KURIPOTI HABARI ZA CHADEMA NA KUACHA ZA CCM

hivyo kwa haraka haraka WALIOHUSIKA KUMUUA MAREHEMU NI POLISI KWA KUSHIRIKIANA NA CCM

Mara unasema "bomu dogo", mara unasema "la kuvunjia vizuizi kama makofuli", mara unasema "kinachofanana na hivyo", mara unasema "wamejihami na mabomu hayo", mara unasema "inasemekana".

Jee, unajiona kuwa hujui ulichokiandika na ni uzushi mtupu?
 
kwa akii yako likiwa la kuvunjia vizuizi ni azima liwe kubwa? Nani alikuambia ukubwa wa pua ni wingi wa makamasi?
 
Back
Top Bottom