Tuelewe katiba aitaki mchezo wala siasa za ushabiki, Tanzania inatumia njia ngumu sana kutafuta demokrasia ya kweli kwa kutotambua mapungufu ya katiba ya Nyerere (ndio misingi ya power za chama tawala ilipoanzia).
Huwezi kushindana na mtu mwenye huwezo wa kuamuru watu wapige risasi congregation za mikutano wakati wana practice their democraric rights. Tutaendelea na tume za serikali, Serikali ambayo aina mwangalizi wa makosa yake.
Kwa kweli hakukuwa na haja ya habari za muungano, sijui maliasili zilindwe vipi na wala habari za watanzania wanataka nini kwa sasa kutoka serikali. Tupo katika mashindano ya kisiasa kupitia vyama vingi kwa maana hiyo kwanza ilikuwa tuweke misingi sawa ya ushindani wa siasa sawa including equal access to other governing bodies such as the judiciary.
Sielewi kwanini wanasiasa wapinzani hawalioni hili ndio tatizo kubwa lao kubwa kwa sasa kuliko mambo mengine yanayo daiwa kwenye katiba, aina maana hayana umuhimu hila yanaweza ngojea for now democracy needs to be a priority and a proper balance and checks system or else tuzoe tu mauaji ya kuamrishwa, au hata ya kujipendekeza kwa kuelewa wateuaji wa madaraka kwenye vyombo vya ummani chama tawala.
We have given out so much powers to the ruling party and the central government, deregulation is needed first than anything else in the new constitution if that were a priority of opposition parties i don't think the police would be behaving the way they do. The police force know who they protect and in turn they receive the same from the central gov in a sense that the perpetrators of these evil atrocities are never in court (again controlled by the central gov for the large part) i dont see why this is not a priority in the new constitution than many other demands which only delay the process.