Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Mmmmmhh!! Sasa naona Nchi yetu police wanaielekeza pabaya!
Hili jambo si la kupuuzwa hata kidogo!
Unajua mazingira aliyokuwa wakati anapigwa risasi? polisi walikuwa wana-target waandishi wa habari, au alikuwa katikati ya umma?
Can you believe the source?
Mwwenyekiti na chama cha waansishi wa habari mkoa wa iringa na mwandishi wa habari wa chanel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa chadema mufindi
Kama huna cha kuandika acha kutujazia utumbo hapa, sisi tunasikitika watu wasio na hatia wanauawa wewe unaleta mzaha!!sio siri chadema hata kama hamhusiki ni rahisi kabisa kuunganisha hizi vurugu na haya maandamano kumbukeni kuwa watanzania wengi hawajaelimika na msifananishe hata kidogo maandaman yenu na yale yaliyotokea kule Misri kwa sababu zifuatazo:
. maandamano ya misri yalikuwa yanaongozwa na wananchi wa kati( middle class)
.maandamano ya cdm yanahusu vijana ambao hawajui watapata nini siku ya mwisho
hapana hajapigwa risasi ni kitu kizito kinachoruka
Na juzi polisi wameuwa wawili kule Nyamongo kwa niaba ya Wacanada! halafu yule RPC alikuwa anahalalisha kwamba kulikuwa wavamizi kama 1,000 na silaha za jadi na hivyo ilibidi wapige risasi kulenga miili ya ng'ombe, sorry, binadamu.
Waliokuwa kwenye tukio wasema wavamizi hawakuzidi 40!
Kweli polisi watatumaliza!