TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

habari za kweli kutoka itv ni kuwa hawakuwa na mkutano wowote bali kulikuwa na ufunguzi wa tawi pele mufind ss polisi wakavamia na kuanz akurusha mabomu moja limrmpiga mwandisha huyo wa chanel ten tumboni ka utumbo kutoka nje na kufa hapo hapo kamanda wapolis kapigiwa simu na mwandisha wa habari itv anasema yeye aliruhusu nikutano ya ndani ikiwemo kufungua matawi ss anashagaa polisi kurusha mabomu du hii ndo bonga
 
hawa polisi n walewale wa CCP Moshi,au ni chipukizi wanavaa jez ya poliisi,CCM is destructing itself wth its own hand,shame shame shame shame shame CCM,Mnanuka damu,tofauti na Syria ni ndogo sana...............
 
My God! Twaenda wapi? Mbona Bububu kampeni zinaendelea?
 
Jamani!!!Serikali imeamua mambo yawe kwa mtindo huu?
Hizi silaa ni kwamba zinaexpire karibuni ndio maana zinatumika hovyo?
 
Taarifa nilizonazo ni kwamba huyu mwandishi kafumuliwa tumbo na utumbo kutoka, na kufariki dunia palepale.
Source: ITV breaking news.

My take: hawa polisi wanatekeleza amri ya chama tawala. Juzi pale Msamvu walidai yule kijana alipigwa na kitu kizito! Leo watasemaje ili hali mwandishi alikuwa kazini?? Inasikitisha sana ndg zangu watanzania! Nani atakaeiwajibisha hii serikali dhalimu namna??
 
huu ni mpango wa polisi na ccm dhidi ya chadema.!
 
Polisi - Jeshi la kuua wananchi (J.K.W)!
JKT - Jeshi la kujenga taifa;
JWTZ - Jeshi la wananchi Tanzania
 
nyie lazimisheni maandamano lakini hayo maandamano ndio mnatafuta kutoweka kwenye ramani ya vyama vya siasa, iko wapi cuf ngunguri, wapi Nccr , kimsingi hiyo huruma mnayotaka kutoka kwa wananchi hamtaipata kwa staili ya maandamano

Niliposema kuhusu uwezo wako wa kufikiri sikukosea,hayo yana justify kupiga wananchi risasi kwenye ubongo wako?
 
Ni taarifa za kweli kabisa, mwandishi alikuwa kwenye kazi yake ya kuchukua habari (movie) kapigwa risasi na kufa hapohapo.

Source mtu alioko kwenye tukio na naendelea kuwasiliana naye,
 
breaking nyuzi ya itv ni kwamba nwandishi amefariki na kamanda wa polisi mkoa wa iringa kagoma kuongelea

Ataongea nini na alishasema wamejipanga?Kauli yake na matendo vinamhukumu
 
Nazani ni mkakati wa makusudi wa CCM na jeshi lake ili kudhoofisha harakati za CDM
kuna jamaa amenambia ilo limetokea mufindi uko
So sad ktk ulimwengu wa sasa kufanya mauaji ya raia kwa kisingizio cha siasa
 
Yaani imenisikitisha sana! na sijui hata niseme nini hapa.
Ila ninauhakika kuwa siku za ccm kukaa madarakani zinayoyoma kama barafu iliyo nje ya friji.
Time will tell...RIP Mwangosi
 
Huu mkakati wa kukichafua chadema kupitia mauaji sio mzuri, TO HELL CCM! R.I.P DAUDI MWANGOSI.
 
Samahani kama sikuelewa, habari ni kuwa amepigwa risasi au ameuawa kwa kupigwa risasi? Tuache utani, yote si mema, lakini tafadhali tusiandike maneno mazito kama hayo wakati hatujapata taarifa zaidi za hali yake. Sina neno lolote mkuu Royals, ila naomba kabla hatujajua kilichotokea kwa dhati tusikimbilie kuandika R.I.P! Mkuu marejesho ameuliza Vipi hali yake? Naomba mwenye habari zaidi atupatie.

Mwandishi kafariki dunia baada ya polisi kuvamia mkutano wa kufungua tawi. Inasemekana huyu mwandishi kulipukiwa na bomu tumboni.
Source: ITV
 
Mwanakijiji aliwahi kuilalamikia Chadema kwa kutochukua hatua juu ya mauaji yanayofanyika kila kukiwa na mikutano yao! Manake it seems Chadema wakiomba kibali cha mkutano tu, polisi wanatia mafuta na kusafisha bunduki zao!
Kwa kweli ni wakati wa kuchukua hatua!
 
Back
Top Bottom