Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Poleni wafiwa tiini mamlaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
republic of Nauru...Nchi gani hiyo ambayo haitawaliki tena?
THis is too much, just too much
Kipi kimesabibasha mpaka kapigwa risasi.
Samahani kama sikuelewa, habari ni kuwa amepigwa risasi au ameuawa kwa kupigwa risasi? Tuache utani, yote si mema, lakini tafadhali tusiandike maneno mazito kama hayo wakati hatujapata taarifa zaidi za hali yake. Sina neno lolote mkuu Royals, ila naomba kabla hatujajua kilichotokea kwa dhati tusikimbilie kuandika R.I.P! Mkuu marejesho ameuliza Vipi hali yake? Naomba mwenye habari zaidi atupatie.
Tafadhali leteni chanzo chamtoa mada!Asitufanye turopoke mpaka BAN zitembee bure bila uhakika!
RPC atasema polisi hawatumii risasi za moto. Polisi itaunda tume kuchunguza. Polisi itatangaza yenyewe kama waliomuuwa nu CDM! Kila kitu wao!
Hata daktari atakayechunguza polisi ndiyo watatangaza matokeo!
By the way serikali ina jibu gani kwamba leo hii CCM wanafanya mkutano wao lakini CDM hapana.
Vipi hali yake?
wewe una matatizo gani huwez hata soma thread zngine ukaelewa? Dah....
Hatuna uongozi nchi hii ni aibu!
Wacha utukutu kaka/dada it doesn't matter where he was, and the circumstances, we aren't in a banana republic. Its time polisi wasibebe silaha za moto uraiani this is too stupid!