Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishakuwa Libya, tatizoZanzibar ni ndogo ,lakini naamini kabisa kama ingekuwa kubwa kama Tanganyika basi wakato huu kungekuwa kunazungumzwa hadithi zingine ,maana ingekuwa ama zao ama za wananchi ,huko bara mmezubaa !!
Kuuliza sababu ni kuwa na matatizo hakuna anayefurahi mtu kupigwa risasi, unataka kuleta ushabiki wa kipuuzi.
Nchi gani hiyo ambayo haitawaliki tena?
Tunaomba uzi huu uwekwe stiky.
Mods tunaomba msaada hapa tafadhalini.
Na yeye alikua anafanya nn huko?
Ni hatari sana hawa police,utampiga vipi risasi mtu asikuwa na silaha?
sababu imeandikwa n mkutano wa CDM au huoni