Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Ndio mdemu wa Iringa ,hauitaji kuambiwa ww angalia vidole vya miguu tu .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepata na wengine wawili. Ila mademu wa Iringa wako nafasi ya kwanza kati ya mademu loyal ninaowajua tena research hii nimefanya muda sana. Akidate na mtu anatulia wala hababaiki na wahuni kazi, na wanapenda dini wengi wao.

Huwa naresearch kila group kwa ajili ya matumizi yangu
 
Hongera
 
Vipi waburushi wa iringa Mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…