Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Duuuh kumbe chawa bado wapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wenyewe ni taifa!Embu walete uku dar,niwapeleke hifadhi ya taifa...
Sasa huko chooni Si ndo kijiweni kwaoSehemu za baridi Funza hawakosekani
Sababu Kuna vumbi vumbi sana
Unachotakiwa fanya Ni kutembea umevaa viatu na soksi kila wakati kandambili vaa ukienda chooni tu
Otherwise uwe ndani ya viatu na soksi full unless uwe umelala[emoji1]
Kwa jiografia yetu TZ upoKuna uhusiano kati ya baridi na vumbi?
HAa😎😎😂😂😁😁Hahaha mkuu Mimi nakaa image karibu na uzunguni chawa ntawaona wapi zaidi ya ma v8?
Sasa mkuu utaoga na viatu na soksi mguuniSasa huko chooni Si ndo kijiweni kwao
Ndo tunataka kuwasajili sasa...!!Wao wenyewe ni taifa!
Ungemnunulia viatu, vidole vya miguu vinahusikaje na mapenzi! Au ulitaka mke awe mwanariadha?KILA KITU KINA MAKAO MAkUU YAKE NAISI HAPO NDO MAKAO MAKUU YAO
nilipata demu wa uko vidole vimepinda kama upinde nikakimbia
Njombe mkuu.ni miaka ya nyuma sana.nikiwa bado dogoUkiwa iringa?
Hawa wadudu ni ishara njema kwetu hatujui tu. Ukiona mdudu ujue upo kwenye mazingira halisi (nachuro) kwa binadamu. Hawa wadudu wanakufa kirahisi sana sehemu yenye makemikali.Suala la chawa ni uchafu uliokidhiri sio baridi..nakumbuka miaka ya 94's kilimanjaro zilikua zinasumbua sana....baada ya maendeleo na kustaarabika wamepotea kabisa
Hahahaha, mama D na Sky Eclat njooni huku enyi waheheKwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!
Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu! Inahitajika tahadhari kubwa sana kukwepa chawa uwapo mkoa huu.
Hoteli na lodge nyingi wanatumia mablanket mazito ambayo siyo rahisi kufuliwa Mara kwa Mara kutokana na hali ya hewa, hali hiyo imechangia sana kuzagaa kwa chawa!
Ukifika mkoa huu usipokuwa makini unaweza ukasalimia mtoto mdogo shikamoo ukizani ni mzee mwenye nywele za Mvi kumbe ni mayai ya chawa yametanda kichwani!
Wabibi wa huku miongoni mwa starehe ni pamoja na ile ya kuua chawa kwa vidole ama ile ya kung'ata kwa meno.
Ukiwa kijijini kama unaendesha chombo unatakiwa kwenda pole pole la sivyo unaweza kugonga mtu aliyesimama barabarani akiua chawa kiunoni!
Ajabu kuliko yote! Ni vile chawa wakiwa kiunoni wanakuwa weupe, na wakihamia kichwani wanabadilika rangi wanakuwa weusi!
Usiombe umkute mtu ana chawa halafu miguu nayo iwe imetafunwa na funza mithili ya vidole kuwa kama Tangawizi! Unaweza kuondoka Iringa bila kuaga!
Chawa wa Iringa Kiboko!
[emoji2][emoji3][emoji3]hiyo ya mtu kujisahau yupo barabarani akiua chawa ni noma sana.Kwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!