Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Hii kitu ni indicator ya uchumi duni. Wadadu wote hao wanatokana na uchafu uliokithiri wa mwili na mazingira

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Uchumi duni!!? Hali ya ubaridi ndio inawafanya washindwe kufua blanket zao lakin sio kwamba a guest house itakosa mia tano ya sabun ya unga!?
 
Kwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!

Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu! Inahitajika tahadhari kubwa sana kukwepa chawa uwapo mkoa huu...
Kama umend iring ukakutan na ivyo vitu usihusishe mkoa mwngne kam ulivyoutaja wa njombe sis njombe hatuna ivyo vitu😂😂😂😂 imeisha iyooo
 
Uchafu uliokithiri chawa dawa yake ni pasi na kufua na maji moto
 
Chawa wanasababishwa na uchafu. Fua nguo piga nguo zako pasi chawa wote wanayeyuka wenyew
 
Suala la chawa ni uchafu uliokidhiri sio baridi..nakumbuka miaka ya 94's kilimanjaro zilikua zinasumbua sana....baada ya maendeleo na kustaarabika wamepotea kabisa
 
Nimekaa mafinga kwamwaka mmoja ila sijaona hiyo hali.
 
Zafanana Imejifia Long Time

Ilikuwa Dar es Salaam, Korogwe, Gonja, Mashewa

Habari Kubwa Sasa Hivi Nadhani Ni Burdan Tosha!!
Zafanana jamani[emoji28][emoji28]
Burdan alianzaga kama masikhara aisee....
Amekua kweli kweli.
 
Suala la chawa ni uchafu uliokidhiri sio baridi..nakumbuka miaka ya 94's kilimanjaro zilikua zinasumbua sana....baada ya maendeleo na kustaarabika wamepotea kabisa
Kilimanjaro zaman kulikuwa na baridi, sasa hivi joto ndo maana
 
Mkuu niliposoma tu uzi nikamkumbuka demu rafiki yangu nasoma nae. Ana vidole vimeachana, vina usugu, kucha zimekomaa. Ila ana mwili mzuri, miguu mizuri sana na ngozi nyororo. Nilikuwa nashangaa utofauti wa ngozi yake na ya vidole.
Ndio mdemu wa Iringa ,hauitaji kuambiwa ww angalia vidole vya miguu tu .😂😂😂😂
 
Hali ya funza maeneo hayo na hasa Mufindi ni mbaya sana. Ukiona vidole vya mhanga wa funza hulali Iringa
Kama ni hivyo hili ni janga la kitaifa..wananchi wa iringa wahamishwe
 
Back
Top Bottom