Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Kwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!

Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu!..
Kwani hizo hotels si wanunue washing machines ambazo pia zinakausha nguo, mbona wanafanya kazi locally, that means wageni wakifika hotel za Iringa na njombe wanapewa mablanket ambayo yametumiwa na wateja wengine na hayajafuliwa, kama ninhivo basi maambukizi ya magonjwa hayataisha, nikienda mitaa hiyo inabidi nibebe tent langu silaki hotelini kabisaa

Swala la chawa ni la uchafu na sio baridi, wafanye furmigation na waangamize any source inayozalisha au kuhifadhi hao wadudu
 
Ukweli mtupu! Nimetembelea maeneo ya Malangali, Ifunda, Nyololo, Makambaku, Ulayasi na Madaba chawa ndio kwao na mimi nimeondoka nao.

Nimerudi Same nimefua nguo kwa maji ya moto nikanyoa na mkulungu (kipara) angalau sasa ninaaahueni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakinga pesa wanayo...ila chawa bado ni tatizo mzee. Wanaishi ki local mno. Tatizo la watu wa kilimanjaro ni shepu zao tu... na ile kuweke S penye Z
Jamani kutoka kwenye chawa mpaka kwenye maumbo ya watu, ninyi wanajf🤷🏼‍♀️🤷🏼‍♀️
 
Ukweli mtupu! Nimetembelea maeneo ya Malangali, Ifunda, Nyololo, Makambaku, Ulayasi na Madaba chawa ndio kwao na mimi nimeondoka nao.

Nimerudi Same nimefua nguo kwa maji ya moto nikanyoa na mkulungu (kipara) angalau sasa ninaaahueni.
Madaba ya wapi unayoisema wewe
 
Kwani hizo hotels si wanunue washing machines ambazo pia zinakausha nguo, mbona wanafanya kazi locally, that means wageni wakifika hotel za Iringa na njombe wanapewa mablanket ambayo yametumiwa na wateja wengine na hayajafuliwa, kama ninhivo basi maambukizi ya magonjwa hayataisha, nikienda mitaa hiyo inabidi nibebe tent langu silaki hotelini kabisaa

Swala la chawa ni la uchafu na sio baridi, wafanye furmigation na waangamize any source inayozalisha au kuhifadhi hao wadudu
unaleta ushua kwenye mazingira ya kiswazi, labda nikuambie ukifika tafuta hotel za gharama wala hutakutana na kadhia hiyo.
 
Kwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!

Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu! Inahitajika tahadhari kubwa sana kukwepa chawa uwapo mkoa huu!...
You have made it all up!
 
Funza wanaingia ndani ya mguu inamaana?
Mkuu
Upo Mkoa Gani, Hujui Funza Wewe?
Je Tukiongea Yanayoihusu Dodoma Kutokuona Kwao
Utatuangusha. Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa Donor Country

Mteule Wangu Hapa Kisarawe Kazi Yake Kutongoza Wake Za Watu, Tumemuonya Hasikii. Waziri Wa Tamisemi Leo Leo
Umpangie Kazi Nyingine Ya Chini Kabisa!!😂🤣😃😅😄😃🤣😂
 
Kuna mtu alinambia ukitaka kumtambua demu wa Iringa angalia vidole vya miguu yake..!Duuh kumbe waTz hatufanani .
Hili la vidole vya miguu kuwa unique kwa mademu wa iringa limekaaje wadau?
Mkuu niliposoma tu uzi nikamkumbuka demu rafiki yangu nasoma nae. Ana vidole vimeachana, vina usugu, kucha zimekomaa. Ila ana mwili mzuri, miguu mizuri sana na ngozi nyororo. Nilikuwa nashangaa utofauti wa ngozi yake na ya vidole.
 
Ukweli mtupu! Nimetembelea maeneo ya Malangali, Ifunda, Nyololo, Makambaku, Ulayasi na Madaba chawa ndio kwao na mimi nimeondoka nao..
Malangali umesingizia,mbona pale Shuleni kwetu hayo hayakuwepo kabisa,labda ulilala kijijini huko
 
Back
Top Bottom