Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Ukweli mtupu! Nimetembelea maeneo ya Malangali, Ifunda, Nyololo, Makambaku, Ulayasi na Madaba chawa ndio kwao na mimi nimeondoka nao.

Nimerudi Same nimefua nguo kwa maji ya moto nikanyoa na mkulungu (kipara) angalau sasa ninaaahueni.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!

Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu!.
Kipindi nasoma pale Mtwango secondary Acha tuu. Kulikuepo na chawa hatari
 
Back
Top Bottom