Iringa: Natafuta mke, mwakani nataka nioe

Iringa: Natafuta mke, mwakani nataka nioe

😅 Unaenda na beat sio, vijana wa sasa mnataka demu kwa kisingizio Cha ndoa, akijaa kwenye mfumo mnamtema.
Hapana mkuu mi sijawahi acha mwananmke kizembe..
Kiufup nimechoka kukaa single ..
Wee assume hapa nina mikazi kibao na bado nguo sijafua..
Ndani pachafu kiufupi nataka mwenza ..
Mi sio pesa zangu zinaishia kubeti tuu nataka mwenza ale matunda yangu...

Nataka na mimi nighalamikie mkuu
 
Oohh!! Na Bado upo online JF😂 huko kwenu Mtaani hakuna!?.
 
Oohh!! Na Bado upo online JF😂 huko kwenu Mtaani hakuna!?.
Mkuu mbona kama una nidhihaki..
Oky kiufupi huku mtaani wapo lakini mpaka nimekuja huku jua nahitaji mtu sahihi ..

Mtaani hapa sio pa kua na mtu nahitaji mtu ambaye atakua mgeni na haya mazingira..
 
Nami natafuta mke aliye tayari aje pm kazi mfanyabiashara wa vitu vya jumla miaka 19 hadi 25 nina miaka 27
 
Back
Top Bottom